Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu.
Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana uhitaji mkubwa wa madawa au vyakula vya dukani.
Kuku ni wadhaifu kwenye magonjwa. Wanakufa sana. Pia speed yao ya kukua siyo kubwa.
Bata ana nyama tamu sana kuliko kuku na kanga.