Kufuatia vitisho vya Masheikh Kwa TEC, Sasa kama ni Mbwai Wacha iwe Mbwai , Hatutaruhusu UHAI WA KIONGOZI DINI UKRISTO KUGUSWA, 9 Dec ni Maandamano

Kufuatia vitisho vya Masheikh Kwa TEC, Sasa kama ni Mbwai Wacha iwe Mbwai , Hatutaruhusu UHAI WA KIONGOZI DINI UKRISTO KUGUSWA, 9 Dec ni Maandamano

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC.

Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa.

Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili kuwaogopesha TEC waingie kwenye Maridhiano, Mmeshindwa !!.

Mlidekezwa sana na Nyerere, Mkadekezwa na Mkapa, Mkadekezwa na Magufuli .

OLE WAKE UHAI WA KIONGOZI YOYOTE WA TEC UGUSWE, OLE WAKE UHALI WA KIONGOZI YOYOTE WA TEC UGUSWE !!.

Hamtaamini kitakachowapata !!.

DEC 9, MAANDAMANO YAKO PALEPALE NA NI YA KISHINDO KIKUBWA !!.
 
Usituunganishe wakristo. Sema viongozi wa TEC. Achana na Ukristo. Katoliki siyo wakristo ni Wakristu
 
Hata nyie mko kwenye payroll ya TEC…

Tuvumiliane tu hii nchi sio mali ya mtu yoyote
 
Hata nyie mko kwenye payroll ya TEC…

Tuvumiliane tu hii nchi sio mali ya mtu yoyote
Wajaamaa wapuuzi kweli, wanaleta habari za kikuma sana,, wanadhani vitisho vyao vya kijihadi vitaogopesha watu Kudai HAKI.

Wanachokitafuta watakipata
 
Hii nchi tunashangilia upuuzi ila si mda kitawaka kuna ujinga mkubwa unafanyika na watu wanaangalia tu viongozi wa dini kabla ya kutetea waumini wao wanatetea viongozi na mali hawaoni thamani ya uhai wa watu.Busara inahitajika mbona TEC hawajataja dini yeyote ila hawa mashekhe wamekuja na vitisho na kushambulia dhehebu fulani kuna shida.
 
Mimi ni muislamu.

Lakini sipo pamoja na hao matapeli ya UVCCM yanayojinasibu ni mashehe.

Waislamu wa zama hizi ni waelewa na tunamjua adui yetu ni nani.

Adui yetu ni serikali na baadhi ya watendaji wao pamoja na vyombo vyao vya ulinzi.

Hatununui hizi cheap propaganda zinazoletwa.

#9Dtunatoka
 
Mleta mada usiingie kwenye mtego wao!!! Wao wanataka huo upuuzi uenee. Bahati nzuri Watanzania Sasa wanajua wanachokitaka bila kujali dini zao. Usiingie kwenye mtego wao, vinginevyo nawe utwambia kama ndiyo mipango yenu kulizamisha Taifa tujue.
 
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kutaka kuwagawa watanzania kidini, kwa bahati nzuri watanzania wa sasa angalau elimu ipo wameusoma mchezo, wanaishi pamoja vizuri bila kubaguana, n.k.
 
Hao mashehe si wapenzi wa Dunia kama sisi hawana hasara kumbuka ya kibiti wakiamua jambo tunapoteana,tuiombee amani
 
Ndg zangu haya mambo ya kidini yatatupeleka pabaya
Jizuien sana kuzungumzia dini kwenye huu mkanganyiko tunakoelekea sio kuzuri
 
Niliwaambia kila mtu akidai haki yake nchi haitakalika, kikubwa ni kuvumiliana tu ili maisha yaendelee duniani tunapita tunaiacha.
 
Back
Top Bottom