Kufuatia Upotoshaji Unaofanywa: Naomba kutoa Elimu kuhusu Mihimili mitatu ya Dola

Tatizo ccm wanajiona wao ndio wenye akili tu kuliko watanzania wote cheki kama Hugo kaleta ugolo wake hapa hata kutetea kwa fact hawawezi nadhani hata wao huko watakuwa wanacheka kwa porojo hizi huu ni mwaka 2020 sio ile miaka ya 80huko ambako kola kitu kilikuwa hewala tu
Jipangeni Lumumba muje na hoja mjarabu mwaka huu mmelinywa lazima mlitapike
"Serikali kazi yake ni kuendesha shughuli za kila siku za nchi, bunge kutunga sheria na kuisimamia serikali wakati mahakama inakazi ya kutafsiri sheria. Kazi ya kuingia mikataba ni kazi ya serikali na hakuna ulazima wa kulitaarifu bunge wakati wa kuingia mikataba hiyo.."

Hapa ndipo nilipo kuona kiazi kweli kweli ,yani Raslimal za Nchi zisimamiwe na Serikali bila ya kupelekwa kwa Wananchi (Bungeni) !!??

Kweli !!..
 
Ikiwa mkataba haupiti bungeni bunge litajuaje kuna shida katika mkataba fulani ili liombe na lipiwe?
Mkataba unaweza kwenda au kutokwenda bungeni Ila nasisitiza sio lazima uende. Bunge halipaswi kuiingilia serikali kwani bunge sio boss wa serikali. Katika mgawanyo wa majukumu serikali inapaswa kushughulikia masuala ya mikataba na ndio kazi yake. Kama Kuna harufu ya rushwa au shida flani basi bunge ndio linaingilia.

Hii imefanywa hivi kwa makusudi ili kulipa bunge uwezo wa ku intervene pale mambo yanapoharibika kwani bunge likishiriki kuingia mkataba nalo linakuwa sehemu ya mkataba na hivyo kukosa uhalali wa kuiingilia pindi mambo yakienda harijojo.

Someni jamani mambo yako wazi
 
Bunge linapaswa kuwa boss wa serikali kwa sababu bunge ndilo uwakilishi halisi wa wananchi

Waungwana,

Kwa kipindi kirefu wapinzani wamekuwa kwa kujua au kutokujua wanapotosha umma Kuhusu kazi na wajibu wa mihimili mitatu ya dola yaani serikali, bunge na mahakama.

Serikali kazi yake ni kuendesha shughuli za kila siku za nchi, bunge kutunga sheria na kuisimamia serikali wakati mahakama inakazi ya kutafsiri sheria.

Kazi ya kuingia mikataba ni kazi ya serikali na hakuna ulazima wa kulitaarifu bunge wakati wa kuingia mikataba hiyo.

Kama bunge linaona kuna shida kwenye mkataba fulani basi linaitaka serikali kupeleka mkataba huo, kujadili na mwisho kutoa maamuzi. Mbunge binafsi pia ana haki ya kuitisha mkataba wowote ilimradi tuu akidhi matakwa ya kisheria

Waulizwe wapinzani, haya wanayolalamikia kuwa ndege, uwanja wa ndege na mengine kuwa mikataba yake haikupita bungeni, tatizo liko wapi? kwangu mimi ni sahihi na hakuna sheria iliyovunjwa hapo.

Wapinzani wanatumia kigezo cha uvivu wa baadhi ya watanzania kujisomea na kujua mipaka hii na kuwadanganya kwa kiwango kilekile cha kusema hakuna reli Wala treni ya kaliua mpanda, uwanja wa ndege kujaa maji n.k.

Wanaosema kuna makosa, waseme ni makosa gani.

JPM kanyaga twende.

Amani Msumari
Tanga
Kama hujui sio lazima na wewe uandike subiri waandike wajuzi wewe usome tu ...

Sasa si unajitia aibu bure Ndg. Mwandishi

Wewe Dada wa CCM subiri tukufahamishe, ni kuwa Technically ipo hivi ... sawa umeingia mkataba ... lakini kumbuka mkataba huo unahusisha matumizi ya pesa za serikali tena nyingi sana ... sasa basi tangu lini pesa ya serikali ikatumika bila ya idhini ya BUNGE???

Kumbuka pia ili upate idhini ya Bunge kwa matumizi husika lazima kuwe na sababu na utaratibu wa matumizi husika vitu ambayo lazima vijadiliwe na kuafikiwa na bunge kwanza

Na kwa msingi huo basi ili kujadili sababu na utaratibu wa matumizi hayo si nilazima utatakiwa kupitia mkataba husika??? ... au???

Afu badae mtu kama wewe unateuliwa kuwa mbunge kwa nafasi ya upendeleo ktk nafasi 10 za raisi then anakupa uwaziri ... duuuu!!! Yale yale ya Polofesa Kabudi narudia tena kwa herufi kubwa POLOFESA KABUDI sijakosea kutype neno POLOFESA

Kwa maana hiyo
 
Hakuna muhimili mkubwa kuliko mwengine. Wote sawa Ila wanamajukumu tofauti. Mikataba mbalimbali ambayo inaingiwa kwa niaba ya Tanzania ni jukumu la serikali
 
Kwenye demokrasia halisi duniani kote bunge ndio huridhia mikataba na serikali kazi yake ni kuitekeleza na kutoa ripoti kila inapohitajika.
Hakuna muhimili mkubwa kuliko mwengine. Wote sawa Ila wanamajukumu tofauti. Mikataba mbalimbali ambayo inaingiwa kwa niaba ya Tanzania ni jukumu la serikali
 
Kama hujui sio lazima na wewe uandike subiri waandike wajuzi wewe usome tu ...

Sasa si unajitia aibu bure Ndg. Mwandishi

Wewe Dada wa CCM subiri tukufahamishe, ni kuwa Technically ipo hivi ... sawa umeingia mkataba ... lakini kumbuka mkataba huo unahusisha matumizi ya pesa za serikali tena nyingi sana ... sasa basi tangu lini pesa ya serikali ikatumika bila ya idhini ya BUNGE???

Kumbuka pia ili upate idhini ya Bunge kwa matumizi husika lazima kuwe na sababu na utaratibu wa matumizi husika vitu ambayo lazima vijadiliwe na kuafikiwa na bunge kwanza

Na kwa msingi huo basi ili kujadili sababu na utaratibu wa matumizi hayo si nilazima utatakiwa kupitia mkataba husika??? ... au???

Afu badae mtu kama wewe unateuliwa kuwa mbunge kwa nafasi ya upendeleo ktk nafasi 10 za raisi then anakupa uwaziri ... duuuu!!! Yale yale ya Polofesa Kabudi narudia tena kwa herufi kubwa POLOFESA KABUDI sijakosea kutype neno POLOFESA

Kwa maana hiyo
Bajeti kupitishwa na bunge n Jambo major na kuingia mkataba n jambo lingine. Bajeti ikoshapitishwa serikali inatekeleza. Ipo bajeti Maalum kwenye ofisi ya Rais ihusuyo masuala ya usalama ambayo haihojiwi. Mengine yote yanahojika. Tuma wabunge wako wahoji
 
Mbegu za papai zimo ndani ya papai lenyewe japo mbegu ni kitu kingine na papai ni kitu kingpins

Unacho jichanganya wewe ni kama vile unataka kuhoji kuku na yai kipi kilianza, kwa kifupi huwezi kupata yai bila kuku wala huwezi kupata Kuku bila yai

Maana yake ni kuwa unapopanga matumizi na mpango ukapitishwa (Budget) basi lazima uwe na Ankara (Invoice) za kuthibitisha matumizi yako katika waraka wa utaratibu wa matumizi husika (Mkataba) umbao mwisho wa siku vitakaguliwa kuthibitisha matumizi husika katika utaratibu husika
 
Nasisitiza, bunge sio sehemu ya manunuzi hivyo haihusiki na mikataba. Sana Sana bunge linaweza kuagiza mkataba uletwe ili kujiridjisha.

Hapa zingatia seterisi paribasi
 
Vipi huu sio upotoshaji kwa jamii?View attachment 1583312View attachment 1583311
Screenshot_20200924-145643.jpg
 
Waungwana,

Kwa kipindi kirefu wapinzani wamekuwa kwa kujua au kutokujua wanapotosha umma Kuhusu kazi na wajibu wa mihimili mitatu ya dola yaani serikali, bunge na mahakama.

Serikali kazi yake ni kuendesha shughuli za kila siku za nchi, bunge kutunga sheria na kuisimamia serikali wakati mahakama inakazi ya kutafsiri sheria.

Kazi ya kuingia mikataba ni kazi ya serikali na hakuna ulazima wa kulitaarifu bunge wakati wa kuingia mikataba hiyo.

Kama bunge linaona kuna shida kwenye mkataba fulani basi linaitaka serikali kupeleka mkataba huo, kujadili na mwisho kutoa maamuzi. Mbunge binafsi pia ana haki ya kuitisha mkataba wowote ilimradi tuu akidhi matakwa ya kisheria

Waulizwe wapinzani, haya wanayolalamikia kuwa ndege, uwanja wa ndege na mengine kuwa mikataba yake haikupita bungeni, tatizo liko wapi? kwangu mimi ni sahihi na hakuna sheria iliyovunjwa hapo.

Wapinzani wanatumia kigezo cha uvivu wa baadhi ya watanzania kujisomea na kujua mipaka hii na kuwadanganya kwa kiwango kilekile cha kusema hakuna reli Wala treni ya kaliua mpanda, uwanja wa ndege kujaa maji n.k.

Wanaosema kuna makosa, waseme ni makosa gani.

JPM kanyaga twende.

Amani Msumari
Tanga
Mkuu umeelewa ulichosema?Umesema ndio,ukasema hapana halafu ukasema ndio.Sasa sijui ulichosema ni nini.Ili kimsingi ni kwamba BOSS wa serikali ni BUNGE.Serikali inao wajibu wa kuhakikisha kwamba TAARIFA zinakuwa wazi kwa wananchi na BUNGE so kama hio mikataba ipo na ni ya haki basi iwekwe ijadiliwa kwa sababu ni YA PESA NYINGI SANA ZA WALIPA KODI so huwezi acha zipite kimya kimya NO MATTER WHAT THE LAW SAYS.
 
NO MATTER WHAT THE LAW SAYS. Hii itafakari tena Kama unaamini katika utawala wa sheria
 
Huyo mbadhirifu wenu mwaka huu hachomoki.
Ana makandokando kama yote.

Lissu ni lazima atinge ikulu tarehe 28 Oktoba 2020.
Mtaingia ikulu yenu pale Ufipa. Watanzania hawawezi fanya kosa kuchagua kibaraka.
 
Back
Top Bottom