Machingafx
Senior Member
- Sep 25, 2026
- 131
- 162
Haya tushajua km umeoaKulala shuka lililofuliwa na mke afu liwe limefuliwa na sabuni yenye harufu nzuri let's say erial nakwambia freshness yake ni top notch 🔥
Mgonjwa umepona haraka mpk unanishangaza aiseee..!! 😹Usafi ni muhimu
Hapa nilipo nina maumivu ya mkono sio poa.Mgonjwa umepona haraka mpk unanishangaza aiseee..!! 😹
Kwani wewe hujaoa bado😂Haya tushajua km umeoa
Hapana, nipe binti yako 😹Kwani wewe hujaoa bado😂