Kufilisika kwa mashirika ya ndege ni Uzembe?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,113
33,622
Wakati Tanzania tukijipanga kuongeza Idadi ya ndege zetu ili kuendelea kulijenga upya shirika letu la ndege, Duniani kote inaonekana ni kama vile biashara ya uendeshaji mashirika ya ndege inazidi kuwa ngumu.

Habari za karibuni kabisa ni kufilisika kwa shirika la Ndege la "Thomas Cook" na kusababisha zaidi ya abiria wake 155,000 kukwamba kusafiri.

Kinachonishangaza ni kwamba hayo mashirika yanayosemwa kwamba yamefilisika si kwamba hayana ndege, hapana. Yana ndege nyingi sana tena sio mbovu bali ni nzima na zenye ubora wa kuaminika. Kwa mfano mpaka shirika la ndege la Thomas Cook linafilisika lilikuwa na ndege zaidi ya 34.

Jee kufilisika kwa mashirika ya ndege ni Uzembe wa wanayoyaendesha mashirika hayo?

CC: barafu
 
Ipo tz tu, imani kuwa ndege ni biashara. Ndege ni heshima tu ya nchi, sawa na familia kuwa na gari ya kutembelea. Kama ni biashara Mbona hesabu za ATCL hazikaguliwi?
 
Katika kuamua wazo la biashara lipate kutekelezeka, hakuna kitu muhimu kama kuwa taarifa za kutosha ili upate kufanya uamuzi sahihi kabla ya kuanza kuchukua "risk" ya kuwekeza mtaji ndani ya biashara uliyodhamiria kuifanya. Taarifa za uhakika wa soko na ushindani uliopo ndicho kitu cha kwanza kulizingatia, badala ya kuingia kichwa kichwa.

Ni vyema kutumia mkakati wa "demand driven" badala ya "supply driven" ili kuendana na changamoto zilizopo sokoni. Kusema ukweli biashara ya ndege duniani imekuwa na changamoto kubwa ktk uendeshaji wake. Hapa ndipo mashirika makubwa hufanya fitna kwa kuwa na "strong cartels" hali inayopelekea "kinked demand". Hapo sasa, akina siye na vindege vyetu vya hapa na pale.
 
Thomas Cook sio kwamba wameshindwana na serikali ya uingereza? Kama wamesindwana sidhani kama ni kufirisika kwa biashara.
 
Wakati Tanzania tukijipanga kuongeza Idadi ya ndege zetu ili kuendelea kulijenga upya shirika letu la ndege, Duniani kote inaonekana ni kama vile biashara ya uendeshaji mashirika ya ndege inazidi kuwa ngumu.

Habari za karibuni kabisa ni kufilisika kwa shirika la Ndege la "Thomas Cook" na kusababisha zaidi ya abiria wake 155,000 kukwamba kusafiri.

Kinachonishangaza ni kwamba hayo mashirika yanayosemwa kwamba yamefilisika si kwamba hayana ndege, hapana. Yana ndege nyingi sana tena sio mbovu bali ni nzima na zenye ubora wa kuaminika. Kwa mfano mpaka shirika la ndege la Thomas Cook linafilisika lilikuwa na ndege zaidi ya 34.

Jee kufilisika kwa mashirika ya ndege ni Uzembe wa wanayoyaendesha mashirika hayo?

CC: barafu
Nchi hii ni kubwa usafiri wa ndege ni muhimu! Kufanyabiashara na kupata faida ni upande mmoja na kuhudumia wananchi ni upande mwingine. Kwamfano: ukiwa na gari halikuingizii chochote zaidi ya kukukamua hela ya mafuta, service, kodi, bima, parking lakini hizo gharama hatuziangalii kulingana na huduma ya usafiri tunaopata
 
Yale yale ya kipofu kaona mwezi sasa anafikiri yuko mwezini.

Nchi hii inaendeshwa kwa utashi wa mtu mmoja anayejaribu kuishindanisha Tanzania na nchi nyingine katika airline industry. Kwa ujinga wetu unaoelekea kuwa upumbavu tunaendelea kushangilia upumbavu huu.

Biashara ya ndege kwa nchi masikini kama yetu ni majanga tu.

Time will tell!
Ipo tz tu, imani kuwa ndege ni biashara. Ndege ni heshima tu ya nchi, sawa na familia kuwa na gari ya kutembelea. Kama ni biashara Mbona hesabu za ATCL hazikaguliwi?
 
Wakati Tanzania tukijipanga kuongeza Idadi ya ndege zetu ili kuendelea kulijenga upya shirika letu la ndege, Duniani kote inaonekana ni kama vile biashara ya uendeshaji mashirika ya ndege inazidi kuwa ngumu.

Habari za karibuni kabisa ni kufilisika kwa shirika la Ndege la "Thomas Cook" na kusababisha zaidi ya abiria wake 155,000 kukwamba kusafiri.

Kinachonishangaza ni kwamba hayo mashirika yanayosemwa kwamba yamefilisika si kwamba hayana ndege, hapana. Yana ndege nyingi sana tena sio mbovu bali ni nzima na zenye ubora wa kuaminika. Kwa mfano mpaka shirika la ndege la Thomas Cook linafilisika lilikuwa na ndege zaidi ya 34.

Jee kufilisika kwa mashirika ya ndege ni Uzembe wa wanayoyaendesha mashirika hayo?

CC: barafu
Kwa kiasi kikubwa, si uzembe bali biashara hiyo ni ngumu.
 
Namuhurumia sana CEO wa ATCL kwa kuwa mwisho wa siku anaweza pewa ile ya kutakatisha pesa au uhujumu uchumi.
 
Nchi hii ni kubwa usafiri wa ndege ni muhimu! Kufanyabiashara na kupata faida ni upande mmoja na kuhudumia wananchi ni upande mwingine. Kwamfano: ukiwa na gari halikuingizii chochote zaidi ya kukukamua hela ya mafuta, service, kodi, bima, parking lakini hizo gharama hatuziangalii kulingana na huduma ya usafiri tunaopata
Kwan faida lazima iwe pesa???
Ukubwa wa nchi haimaanishi ndo serikali iwe investor......serikal ingehakikisha miundo mbinu imekaa sawa kwanza then iacheza private sector ifanye yake.....ethiopia airlines walikula hasara for more than 50 yrs, KLM mpaka sasa hawaeleweki, Qatar zaidi ya 80yrs ni hasara tu
Sikatai serikali inajaribu kufanya mema ila approach zao kuna mda zinawacost na zinatucost sisi sote
 
Kwenye news wanasema uongozi wa juu utachunguzwa kwanini Thomas Cook imefikia hadi hapo??

Kuna kitu si bure.
 
Back
Top Bottom