Kufika Kileleni ! Kumbe Kutamu Kihivi !

Kufika Kileleni ! Kumbe Kutamu Kihivi !

Nachelea kumtaja shem!
Wajua nikimtajaga tu, kusisimkwa kunanihusu! Afu leo nimevaa suruali ya kitambaa , kisha nimechomekea! Nta'azilika buree! Tuiweke agenda uporo hadi siku nimivaa jeans ! Ndo nimchane.

usijali shem wangu
nasubiri hyo siku
utakayovaa jeans kwa hamu!
 
Humo kivipi? Hao ni mtu na shemejie nnavyojua mie!
Kwani wewe unafahamu mahusiano yao tofauti na hivyo? Hebu funguka manaake sikuwepo hapa kama wiki hivi !

aakha staki ushahidi
watakuja muda si mrefu!
 
Judgement kama wewe umjua kuwa mie mchawi kwanini sasa wanitangaza hadharani? Yu wapi YNNAH?

Na sirini hamnaga tangazo!
Ili liwe tangazo hadharani si ndiyo kwake?
Mnada waweza utangaza chumbani ?
Sokoni ndiyo mahala pake!
YNNAH ndiyo ametoka kuoga, ngoja avae kwanza, maanake alikua amebaki na Khanga moko tu! Afu Khanga yenyewe ya Pakistani , jumlisha majimaji mwilini aliyotoka nayo bafuni ! Wakubwa tunafaidije!
 
Last edited by a moderator:
Wadau habari zenyu!
Kwa takriban wiki na ushee hivi, nilipotea jamvini. Ambapo nilitumia mapumziko ya Easter kuupanda mlima Kilimanjaro. Dhamira ikiwa nifike Kibo na Mawenzi.
Namshukuru muwezeshaji wa Afya, Pumzi na Uzima kuniwezesha.
Kileleni nimefika! Hakika kuna utamu wake.
Ambao mlijaribu mkaishia njiani, jaribu tena, Kilele jamani kitamu. Ambao hamjatia nia ya kufika huko nawarai tieni.

Kwangu wewe ni bingwa wa kutumia lugha,naamini kabisa kama kungelikuwa na thread ya week ya chit chat hii ingeshika chati.

Nimefurahi jinsi ulivyotiririka na ulivyofanikiwa kuhamisha mawazo yetu.

Umetisha.
 
orgasm.jpg


Copy: mimisa


Wasipokuja?
 
Last edited by a moderator:
Kwangu wewe ni bingwa wa kutumia lugha,naamini kabisa kama kungelikuwa na thread ya week ya chit chat hii ingeshika chati.

Nimefurahi jinsi ulivyotiririka na ulivyofanikiwa kuhamisha mawazo yetu.

Umetisha.

Mzee wa Rula! Aidha na kwangu mie pangekua na comment bora ya wiki , hii comment yako ningeipa Jagpot !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom