Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
- Thread starter
- #61
Kipipi hizo kelele zako za kimahaba ushaniathiri kisaikolojia ivoo!
Mdogo wangu Arushaone hilo athiriko la saikolojia mbona unalo tangu tuko fesibuku?
Hata huku Jeiefu tukiwa hatujahamia? Sasa hilo tatizo likiendelea na huku utaponea wapi ?
Hebu kachimbe mizizi ya mpapai dume changanya na mbegu za ukwaju uchemshe unywe kutwa x3 kwa siku 7!
Kisha konyagi na supu ya pweza iwe marufuku kunywa!
Last edited by a moderator: