Kufika Kileleni ! Kumbe Kutamu Kihivi !

Kufika Kileleni ! Kumbe Kutamu Kihivi !

Mhe, Polisi ben nimekuchanganya ama unejimiksi mwenyewe?
Ukisikia "Rais kafumaniwa akibanjua amri za Mussa kichochoroni" usinyooshe kidole Magogoni!
Kuna Rais wa TFF, Rais wa ngumi, Rais wa wasomi kule St. Augustine n.k n.k!



mkuu bado cjakusoma ulikusudia kutuchanga tu
 
Last edited by a moderator:
Ayiiiiii . . . .utamu utamu mpaka kwa moyo. Aah ssshiiiiiii. . . !!!

Afu Kipipi ! Kipipi ! Unaona unavyoinakshi ngoma ya watoto kua ya wakubwa! Ningenakshi mie ungeninangaje? Juzijuzi hapa ulinishikiaje bango? Ukajifanya Mzee Kifimbocheza! Sio wewe?
Nway potelea kwa kule , hebu endeleza kuukamulia Uzi wangu Limao! Leo niko mastress sana!
 
Last edited by a moderator:
Daaah hivi vilele vinatuchanganya sasa daah..
Itabidi tuvibadilishe majina. Cha mlima tuite kufika kwenye "NCHA" alafu kile kingine ndio kiitwe "KILELE"

stevoh hili swali linamuhusu sana Baba V au watu8 wakipita hapa watoe maelezo kuhusu!
 
Last edited by a moderator:
nimekuja mbiiio...kumbe kilele chenyewe cha kibo+mawenzi
 
kama unao wengi
c nitaharibu?mtaje ww
unaempenda kuliko wote!

Nachelea kumtaja shem!
Wajua nikimtajaga tu, kusisimkwa kunanihusu! Afu leo nimevaa suruali ya kitambaa , kisha nimechomekea! Nta'azilika buree! Tuiweke agenda uporo hadi siku nimivaa jeans ! Ndo nimchane.
 
huwezi kukijua...ni ile milima ya kwetu

Unamung'unya maneno mimisa! Eti ?
Mi hua inaniboa mtu mzima kujitoa fahamu aisey! Milima na vilele vya kwenu kwenye atlas inasomwa?
 
Last edited by a moderator:
Duh,asavali....kumbe kilele cha mlima mi nilidhani kile kingine ati!
 
Back
Top Bottom