Kufika Kileleni ! Kumbe Kutamu Kihivi !

Kufika Kileleni ! Kumbe Kutamu Kihivi !

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wadau habari zenyu!
Kwa takriban wiki na ushee hivi, nilipotea jamvini. Ambapo nilitumia mapumziko ya Easter kuupanda mlima Kilimanjaro. Dhamira ikiwa nifike Kibo na Mawenzi.
Namshukuru muwezeshaji wa Afya, Pumzi na Uzima kuniwezesha.
Kileleni nimefika! Hakika kuna utamu wake.
Ambao mlijaribu mkaishia njiani, jaribu tena, Kilele jamani kitamu. Ambao hamjatia nia ya kufika huko nawarai tieni.
 
unachanganya watu bana aaaaaah
 
dah!nilishtuka
nikasema shem umepatwa
na nini?kumbe kilele cha mlima
heheeee!

unachanganya watu bana aaaaaah

Mhe, Polisi ben nimekuchanganya ama unejimiksi mwenyewe?
Ukisikia "Rais kafumaniwa akibanjua amri za Mussa kichochoroni" usinyooshe kidole Magogoni!
Kuna Rais wa TFF, Rais wa ngumi, Rais wa wasomi kule St. Augustine n.k n.k!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kutamu sana kufika kileleni dah

c.c Madame B
Evelyn salt
 
Daaah hivi vilele vinatuchanganya sasa daah..
Itabidi tuvibadilishe majina. Cha mlima tuite kufika kwenye "NCHA" alafu kile kingine ndio kiitwe "KILELE"
 
Sasa hujatuambia kama kilele iko ulikifikia usiku ama mchana.....
 
Mwanaume hafiki kileleni, anafikia mshindo.
Labda ka we ni mwanamke.
 
Back
Top Bottom