YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,706
- 974
Toa shaka na ushemeji wetu kabisa Passion Lady, btw mi mzima kabisa. Vipi mgeni wenu Jiwe Linaloishi hajambo?
Last edited by a moderator:

mgeni wetu hajambo
kahamia porini tunamuona
kwa manati!
Wadau habari zenyu!
Kwa takriban wiki na ushee hivi, nilipotea jamvini. Ambapo nilitumia mapumziko ya Easter kuupanda mlima Kilimanjaro. Dhamira ikiwa nifike Kibo na Mawenzi.
Namshukuru muwezeshaji wa Afya, Pumzi na Uzima kuniwezesha.
Kileleni nimefika! Hakika kuna utamu wake.
Ambao mlijaribu mkaishia njiani, jaribu tena, Kilele jamani kitamu. Ambao hamjatia nia ya kufika huko nawarai tieni.
acha hizo porini nimekuwa nyani? hahahahah jana usiku mafuriko njoo niokoe
Ulipanda mwenyewe bila msaada wa shemeji?
mi mzima kama mjaluo aliyenyimwa urais kenya.... vipi tukatafute shilingi.....
Jaman shem hongera sna. Huo ndio utamu wa yale mambo
Mzima shosti? Habari ya Tanga?
Mzima shosti? Habari ya Tanga?
Huna ndoa?
hahaaaa!pole nakuja
kukuhamishia mjini!
hahahaaa....
nakuja endelea kusubiri!