Tanroad wanaomba fedha mfano bilioni 300 lakiniMashirika/viwanda yote wakati wa Nyerere yalihujumiwa makusudi ili kuwanufaisha watu binafsi au wazungu kwa mlango wa nyuma, kama kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi, tipper, kiwanda cha tairi za magari , general tire Arusha nk