Kuficha mashahidi ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

Kuficha mashahidi ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

..siku hizi sheria zinatumika vibaya kuwakandamiza wasio na hatia.

..katika kesi hizi [ za Boni Yai, na Lissu ] inaelekea kwamba upande wa jamhuri una mashahidi ambao ni dhaifu hivyo ili wasihojiwe sawasawa imeamua kutumia kifungu cha kuficha mashahidi.
Mahakama ndio kila kitu katika kuweka mambo sawa.
 
Back
Top Bottom