Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama ni issue ya ulinzi, kwa nini Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na wengineo hawalindwi kwa kuwaficha?. Kuna ulinzi gani mkubwa zaidi ya kumlinda Rais Duniani?
Kama Rais ana ulinzi mkubwa zaidi lakini bado tunakuwa naye pamoja kwenye shughuli mbalimbali, mashahidi wana nini cha pekee kumzidi Rais?
No live witnesses No case.