Kuficha au kujificha hakutasaidia

Kuficha au kujificha hakutasaidia

Naona umekasirika sana baada ya kudhibitiwa usiibe mali za watu na kuharibu , zile mali mlizoiba kwenye maandamano uchwara ya kuhalifu zimewanogea sana mnajiona hamuwezi kuishi bila kufanya ule unyumbu wenu.

Sasa toka tena ukafanye maandamano yenu ya kinyumbu uone utakachokutana nacho
 
View: https://youtu.be/P2J6CDM8J_8?si=aFlU283p7E2Njx0-
Wewe UVCCM Lucha ni mbwa koko wa getini tu ukisubiri kuokota makombo ya bwana zako ule uende kulala...!!

Hujui chochote kinachoendelea ndani ya nyumba. Tulia wanaume waikomboe Tanganyika yao🚶🏻🚶🏻🚶🏻
 
Mleteni Rais wetu mbele ya camera hata Kama tunamchukia, hatoshi, mwizi wa chaguzi, ametuulia ndugu zetu lakini ki protocol bado anakuwa Rais wetu hata Kama Ni haramu

Je Yuko wapi?

Anafanya Nini?

Kwanini ajifiche?

Yu Hali gani?

Kwanini awe waziri mkuu na sio makamo wa Rais juzi?

Who are you wewe unayezuia tusijue Alipo??
Ila nyinyi watu ni mataahira sana
 
Kwani kuna lolote huko? Wanaouliza yuko wapi je kama kapumzika presha zenu za jana ama anajisikia vibaya mnataka mkampelekee panadol?😆😆😂
 
Naona umekasirika sana baada ya kudhibitiwa usiibe mali za watu na kuharibu , zile mali mlizoiba kwenye maandamano uchwara ya kuhalifu zimewanogea sana mnajiona hamuwezi kuishi bila kufanya ule unyumbu wenu.

Sasa toka tena ukafanye maandamano yenu ya kinyumbu uone utakachokutana nacho
Wewe endelea kukejeli kuudhi lkn ungetoka nje uone kuna giza nene limetanda. Nature imesha take place.
 
Back
Top Bottom