Kuficha au kujificha hakutasaidia

Kuficha au kujificha hakutasaidia

Rais wenu anandaa mipasho tu saa hizi mbwa nyie
 
Shughuli zilikuwa nyingi, uteuzi wa wagombea ndani ya chama, kampeni hadi uchaguzi, kuunda serikali na sasa huenda yuko likizo Kizimkazi au uarabuni.
Mleteni Rais wetu mbele ya camera hata Kama tunamchukia, hatoshi, mwizi wa chaguzi, ametuulia ndugu zetu lakini ki protocol bado anakuwa Rais wetu hata Kama Ni haramu

Je Yuko wapi?

Anafanya Nini?

Kwanini ajifiche?

Yu Hali gani?

Kwanini awe waziri mkuu na sio makamo wa Rais juzi?

Who are you wewe unayezuia tusijue Alipo??
 
Kwani Juzi hamjamuona akiwa na kaimu balozi wa Marekani au nongwa tu!! "who are you"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamuiga Paul Kagame, kutengeneza propaganda ya eti kafa,
Kuna kipindi alienda Cuba akatengeza propaganda eti kufanyiwa operation ya uti wa mgongo Mshana Jr
Unaikumbuka ya Cuba kipindi kile
 
Hii laana bora iendelee kujificha, kwasabb kila ikipanua mdomo inachafua hali ya hewa.
 
Back
Top Bottom