Kuficha au kujificha hakutasaidia

Kuficha au kujificha hakutasaidia

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Mleteni Rais wetu mbele ya camera hata Kama tunamchukia, hatoshi, mwizi wa chaguzi, ametuulia ndugu zetu lakini ki protocol bado anakuwa Rais wetu hata Kama Ni haramu

Je Yuko wapi?

Anafanya Nini?

Kwanini ajifiche?

Yu Hali gani?

Kwanini awe waziri mkuu na sio makamo wa Rais juzi?

Who are you wewe unayezuia tusijue Alipo??
 
Iko hivi kaka👇🏻👇🏻

View: https://youtu.be/cJqp4ybSGJo?si=vd4qPXx5kzrw24FO
SERIKALI ILIYOFITINIKA ITAWEZA VIPI KUWA PAMOJA...?

NURU IMEANZA KUANGAZA, SHANGILIENI..!!

MOABU UMEKATIKA, MOABU AMEANGUKA, PEMBE YAKO IMEVUNJIKA!
 
Back
Top Bottom