kinjeketil
Member
- Jul 30, 2018
- 24
- 2
WCB walianzisha wasafi(.)com ili kuuza na kudistritribute ngoma lakini ikaja ikafungwa. Ni funzo gani tunafaa kupata na ni nini twafaa kuzingatia?
>> Pata Maelezo
>> Pata Maelezo
Hehe.Majinga yaliwek ‘downloading’ wakati ‘streaming’ ndio mpango mzima!
Na pia payment mode ilikua kashi kashi!
Kitu kikafa kibudu!
Nawashauri 2020 wasije jiingiza kwenye siasa za CCM,watajipaka mavi mpaka kwenye kope!
Wamuulize Marlaw!
Marlaw yupo kitengo wewe mziki ulishamtoa sana tuMajinga yaliwek ‘downloading’ wakati ‘streaming’ ndio mpango mzima!
Na pia payment mode ilikua kashi kashi!
Kitu kikafa kibudu!
Nawashauri 2020 wasije jiingiza kwenye siasa za CCM,watajipaka mavi mpaka kwenye kope!
Wamuulize Marlaw!
Majinga yaliwek ‘downloading’ wakati ‘streaming’ ndio mpango mzima!
Na pia payment mode ilikua kashi kashi!
Kitu kikafa kibudu!
Nawashauri 2020 wasije jiingiza kwenye siasa za CCM,watajipaka mavi mpaka kwenye kope!
Wamuulize Marlaw!
Marlaw yupo kitengo wewe mziki ulishamtoa sana tu
unashangaa Marlow kuwa kitengo ?Yupo kitengo cha nini?Usalama wa CCM?
Mziki ni qualifying criteria ya mtu kua state security officer?
Basi kitengo kitakua cha hovyo beyond my imaginations kama hizo ndio cut-off criteria!
Marlaw is a used up looser!
Anakula vumbi day in day out!
unashangaa Marlow kuwa kitengo ?
hicho kitengo kimejaa wacheza kamari na waganga
usishangae kabisa prof maji marefu kuwa mkuu wa kitengo.Ndio maana ni failed state!
usishangae kabisa prof maji marefu kuwa mkuu wa kitengo.
Sana!I see!
Very interesting!
unashangaa Marlow kuwa kitengo ?
hicho kitengo kimejaa wacheza kamari na waganga