Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

Namuonea huruma kwakweli
Kama kweli uandikavyo ndivyo ulivyo in real life

Hivi akikaa na wenzake anasema Nina baby wangu zero IQ ananipenda,namuamini sana yani nimetulia kwa ajili yake,hamna wa kunivua kufuli zaidi yake

Angejua huyo zero IQ yupoje,jf peke etu ndo tunajua mwee kama namuona vile alivyokituliza nyumbani kusubiri Mr apakute safi,mtoto wa watu kama hajasafisha kashanunua zake Gillette ukute safi na kaogea na sabuni ya ayuu anukie kumbe Mr mwenyewe kila siku anarufi ana jasho jipya mhhh!!!!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo zero IQ anaweza kuwa mume wako,na nyumbani kwako yuko vzr tu,kumbe ww ujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero IQ mimi ndio naamini hivyo kwangu kufanya mapenzi (ngono) siyo dhambi .

Ukiniuliza kwa nini nitakujibu tu kwamba ni ka mbinu tu walichotumia wazungu ili tuogope kujipimia utamu kwa mademu zetu wakali (wenye Chura,makinikia) kama yule siti nani sijui waliomuweka kwenye makumbusho yao,

Wanaume tumeumbwa Rijari kwa kazi moja tu ya kibiolojia sasa kwa nini iwe dhambi,

Unaogopa kuitafuna papuchi ya jirani anaekushobokea kisa eti umeoa unaogopa dhambi, ,

Ulishawahi kujiuliza kwa nini Mungu kaumba wanawake wengi kuliko wanaume yaani ile Ratio ya 4:1?

ingekuwa kufanya mapenzi dhambi basi ata ratio ingekuwa sawa yaani 1:1,

Mfalme suleiman alikuwa kipenzi cha Mungu hadi kufikia hatua ya kupewa hekima na utajiri usiomisilika lakini hakuona dhambi kuwa na mademu 700 plus masuria (michepuko) 300,

Wewe na kademu kako kamoja eti unaogopa kumcheat kwa kuogopa dhambi? nani kasema .

Dhambi ni kuiba mali ya mtu ,kumtukana mtu na kumkosea heshima,kuua na zingine nyingi lakini siyo kufanya mapenzi,

Nawaambia ingekuwa dhambi hakika muumbaji asingekubali hii update ya mademu wa siku hizi wenye chura ipitishwe .

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli wewe ni ZERO IQ,!!?, kwani hujui hapa Panya na wadudu wengine na hata miti nao hufanya ngono??!!, Utofauti ni kwamba wao wanaweza kufanya ngono kiholela yaani baba,mama,mtoto nk, hawachaguani, sasa ndiyo maana binadamu akawekewa "restrictions", kwanza aoe/aolewe na mtu maalumu ili kupata uzao ulio genetically pure ndiyo maana ngono kwa upande wa binadamu ni restricted issue na siyo kama ngono za mbwa na mbuzi.

Upo hapo??!!.
 
Namuonea huruma kwakweli
Kama kweli uandikavyo ndivyo ulivyo in real life

Hivi akikaa na wenzake anasema Nina baby wangu zero IQ ananipenda,namuamini sana yani nimetulia kwa ajili yake,hamna wa kunivua kufuli zaidi yake

Angejua huyo zero IQ yupoje,jf peke etu ndo tunajua mwee kama namuona vile alivyokituliza nyumbani kusubiri Mr apakute safi,mtoto wa watu kama hajasafisha kashanunua zake Gillette ukute safi na kaogea na sabuni ya ayuu anukie kumbe Mr mwenyewe kila siku anarufi ana jasho jipya mhhh!!!!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya ni kumuonyesha mkuu,kama namjari na kumpa kila itaji lake dhambi iko wapi ?

ila kama namdhamini na kumuona wa pekee kwa nini asijivunie kuwa na mr care kama Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe ni ZERO IQ,!!?, kwani hujui hapa Panya na wadudu wengine na hata miti nao hufanya ngono??!!, Utofauti ni kwamba wao wanaweza kufanya ngono kiholela yaani baba,mama,mtoto nk, hawachaguani, sasa ndiyo maana binadamu akawekewa "restrictions", kwanza aoe/aolewe na mtu maalumu ili kupata uzao ulio genetically pure ndiyo maana ngono kwa upande wa binadamu ni restricted issue na siyo kama ngono za mbwa na mbuzi.

Upo hapo??!!.
Binadamu aliwekewa na nani mkuu na nani alikuwa shahidi? Wazee wetu kabla hawakuwa na sheria hii ndio maana walikuwa wanawake zaidi ya mmoja na ata masuria (michepuko) ya kutosha huko nje ina maana aliyeweka hii sheria hakuwaona kabla na kuwapa binadamu wote mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo zero IQ anaweza kuwa mume wako,na nyumbani kwako yuko vzr tu,kumbe ww ujui

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu,sema bahati nzuri sijaolewa,hata mchumba wa kumchunga sina maana ningeanza kumuwinda mume

Maana wivu nilonao naweza jigeuza niwe cctv camera niangaze kila kona,

aiseee,mume wangu mtarajiwa jipange maana zero IQ ananifundisha nitakuwa nakaba mpaka penat,sikuachii hata nafasi simu yako yangu,yangu yako.

Kwa taarifa yako simu yangu haina ata password na mpenz wangu yuko free any time kushika na kuitumia,

Michepuko yangu yote nawasiliana nao kwa code zangu maalumu nilizozibuni ili iwe ngumu ata baby kutambua,

Mpenzi wangu hajui chochote ata ile kuhisi tu hawezi maana siaribu sana maeneo ya kitaa mi ni huko kitaa kingine .

Heshima kama yote mixer kumcare japo nina kajob kangu ka kiepe hapo atahisi nini sasa mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom