Na-refer kwenye mfano wako wa Suleiman.
Ungesoma vitabu vya wafalme, ungeona adhabu suleiman alizozipata kutokana na hicho alichofanya.
Haikujalisha Mungu anawapenda kiasi gani, yeye na baba yake wote walikula adhabu za maana walivyofanya tu kakitendo cha namna hiyo.
Tena tukimzungumzia Daudi, ambaye theologians wanamuita (a man after God's own heart) Mungu alikataa kufuta adhabu yake hata alipofunga siku nyingi na kuomba asamehewe. Na yote yaliyosemwa kupitia prophet wa Mungu, yalitimia; I mean yote.
Kwa hiyo kama wewe ni religious, do it at your own risk. Life ni simple. Fanya, unakula adhab, life linaendelea.
Sent using
Jamii Forums mobile app