Strong25
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 426
- 912
HABARINI HUMU
POLENI KWA MIHANGAIKO
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nina plan yakwenda kufanya kazi nchi zawenzetu kama vile canada, marekani, au hata uarabuni
Ila sijui A B wala C kuhusu hizo nchi ama hayo mataifa. Sina ndugu huko wala jamaa ambae anaweza nifanyia mipango yakufika huko
Naona mitandaoni watu wanasema kuna ma-agent ambao wanaweza wafanikisha hilo zoezi.
Lengo langu nikufika huko nakufanya kazi. Sitaki kwenda kama mtalii wala kwenda kama mwanafunzi mana hivyo vigezo vyote sina (sina pesa wala sio msomi ).
Najua humu kuna watu watakua niwazoefu wamaswala haya au hata pengine kuna watu mnawafaham ambao wanafanya hizo kazi . So naomba mnifungue ubongo ili nijue wapi naanzia .
NOTE; kama kweli unazijua hatua zote Usisite nicheki PM _NAWASILISHA