Kufanya kazi Ulaya

Kufanya kazi Ulaya

#uzoefu wakazi na ujuzi naona kama niswali moja _ujuzi wangu ufundi alluminium.

Kuhusu akiba sijaelewa swali linalenga akiba yamtindo gani (yan akiba pesa yakumpa mtu anifanyie hizo process ama akiba pesa itakayo nisaidia baada yakufika huko..
Ili uweze kufika nchi za ulaya au America unatakiwakiwa uandae vitakavyokufanya upate visa ubalozini.
1.passport
2.Bank statement
3.cheti cha ndoa
4.cheti cha mtoto
5.barua ya mwajiri
6.Hati ya nyumba
8.chanjo ya Corona
9.chanjo ya manjano
10.barua ya polisi (tabia njema)
11.Booking hotel
12.Booking ticket
13.Travel insurance
NB: ukipata visa ukifika ulaya itakubidi ujipige ukimbizi ili upate sheria ya nchi husika.
Kwahiyo unapotoka huku hakikisha umeandaa kesi ukifika huko.
 
Back
Top Bottom