Kama umesomea hayo mambo ya cleaning and washingCheti cha nini..?
Ndgu jau sana bora mtu bakiiiNdugu wachawi tuu.
Ukipata li connection hata la kwenda Dubai nishtue, nauli ipo mfuko wa shatiNdgu jau sana bora mtu bakiii
Hii dunia ni kama mmechorewa mstari wa huku hakuna kufika huku ila wa kule wanafika bila shida..Ili uweze kufika nchi za ulaya au America unatakiwakiwa uandae vitakavyokufanya upate visa ubalozini.
1.passport
2.Bank statement
3.cheti cha ndoa
4.cheti cha mtoto
5.barua ya mwajiri
6.Hati ya nyumba
8.chanjo ya Corona
9.chanjo ya manjano
10.barua ya polisi (tabia njema)
11.Booking hotel
12.Booking ticket
13.Travel insurance
NB: ukipata visa ukifika ulaya itakubidi ujipige ukimbizi ili upate sheria ya nchi husika.
Kwahiyo unapotoka huku hakikisha umeandaa kesi ukifika huko.
Tupo pamoja mkuu... Wala usikhofuUkipata li connection hata la kwenda Dubai nishtue, nauli ipo mfuko wa shati
Kama una elimu ya form four,Kajaze green card ubahatishe. Inajazwa kila mwaka. Bahati nzuri kule kwenye green card hawaangalii ujuzi wako. Japo nako ili uelekezwe vizuri kwa mtu mmoja ni elfu 30. Kama na mke ni elfu 60.kama kuna namna unajua unaweza nisaidia njia zakupita usisite kufanya hivyo
Ila naamini zipo njia
Hiyo si mpaka uwe na degree mkuu auKama una elimu ya form four,Kajaze green card ubahatishe. Inajazwa kila mwaka. Bahati nzuri kule kwenye green card hawaangalii ujuzi wako. Japo nako ili uelekezwe vizuri kwa mtu mmoja ni elfu 30. Kama na mke ni elfu 60.
4m4 ya tz ndo sawa na high school ya marekani plus ukiwa umesomea ujuzi flani you are good to go, the world is ours .Hiyo si mpaka uwe na degree mkuu au
Duh nikajua iyo inawahusu wenye degree tuu, ahsante kwa kunijuza mkuu.4m4 ya tz ndo sawa na high school ya marekani plus ukiwa umesomea ujuzi flani you are good to go, the world is ours .
Naskia kupata had uwe na bahati ya kitukuu Cha mtumeUsha apply DV lottery? Mwisho ni tarehe 5 November
Duh nikajua iyo inawahusu wenye degree tuu, ahsante kwa kunijuza mkuu.
Haya maswali yanaonyesha huelewi chochote kuhusu maisha ya US/Europe, kwa ufupi nobody cares kuhusu vitu vyote ulivyouliza1- Unaujuzi gani?
2- Unauzoefu ama unauwezo wa kufanya kazi gani?
3- Una umri gani?
4- Una akiba ya pesa kiasi gani?
HABARINI HUMU
POLENI KWA MIHANGAIKO
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nina plan yakwenda kufanya kazi nchi zawenzetu kama vile canada, marekani, au hata uarabuni
Ila sijui A B wala C kuhusu hizo nchi ama hayo mataifa. Sina ndugu huko wala jamaa ambae anaweza nifanyia mipango yakufika huko
Naona mitandaoni watu wanasema kuna ma-agent ambao wanaweza wafanikisha hilo zoezi.
Lengo langu nikufika huko nakufanya kazi. Sitaki kwenda kama mtalii wala kwenda kama mwanafunzi mana hivyo vigezo vyote sina (sina pesa wala sio msomi ).
Najua humu kuna watu watakua niwazoefu wamaswala haya au hata pengine kuna watu mnawafaham ambao wanafanya hizo kazi . So naomba mnifungue ubongo ili nijue wapi naanzia .
NOTE; kama kweli unazijua hatua zote Usisite nicheki PM _NAWASILISHA
Haha ujawa kijana Tanzania hii under 30 ni mtoto, vijana wako UVCC over 45.#uzoefu wakazi na ujuzi naona kama niswali moja _ujuzi wangu ufundi alluminium.
Kuhusu akiba sijaelewa swali linalenga akiba yamtindo gani (yan akiba pesa yakumpa mtu anifanyie hizo process ama akiba pesa itakayo nisaidia baada yakufika huko..?)
_umri kijana under 30