Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,492
- 9,535
Kea hakika uko kundi la wajinga wajinga.Mbeya utaambulia kupigwa nondo au kulogwa, jiji gan ikifika saa 2 usiku watu wote wamejifungia ndani mjini hakuna mtu, Mbeya sio mji wa kuishi , uchawi kila kona, vibaka kila kona, bora ubaki dar uuze mchicha.
Mbeya utaambulia kupigwa nondo au kulogwa, jiji gan ikifika saa 2 usiku watu wote wamejifungia ndani mjini hakuna mtu, Mbeya sio mji wa kuishi , uchawi kila kona, vibaka kila kona, bora ubaki dar uuze mchicha.
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.
Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app

Jaribuni kumuelewa yeye hakukataa kazi isipokuwa ameomba ushauri.Haka kadada kajinga sana. Kanachagua kazi. Ovyooo
mbalizi kwa muda
nimependa msimamo wakoYah mpendwa siku zote angalia maisha yako wewe. Usijifananishe na mwingine. Hatufanani hapa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.
Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hapo TIA mkiramweni na mwakinyuki, mbasya bado wapo?Mkuu Mbeya City napakubali sana hali ya hewa na vitu vingine viko poa sana as long as una mzunguko wa pesa yako GREEN CITY imetulia. Nakumbuka huko nyuma niliharibu chuo udom nikaona soo kuwaambia washua ikabidi niingie mbeya kimya kimya na kuanza chuo tena mpaka nikamaliza miaka yangu pale TIA. Mpaka kesho na kesho kutwa mbeya city huwa sijiulizi mara mbili mbili kwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya utaambulia kupigwa nondo au kulogwa, jiji gan ikifika saa 2 usiku watu wote wamejifungia ndani mjini hakuna mtu, Mbeya sio mji wa kuishi , uchawi kila kona, vibaka kila kona, bora ubaki dar uuze mchicha.
Hivi kwanza hiyo kazi ni kazi gani unayopewa uchague Mbeya au Dar? Nimesoma post zako humu ndilo swali la kwanza nililojiuliza - utakuwa unafanya kazi gani kwa profiling niliyokufanya. Tayari nina picha fulani.
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.
Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribuni kumuelewa yeye hakukataa kazi isipokuwa ameomba ushauri.
Yaani wewe mpuuzi sana, sijui umepataje hiyo ajira. Hizo pesa zinazozunguka hapa Dar zinazunguka mifukoni mwako au waziona juu tu zikipita? Kama kuna mzunguko mkubwa mbona umeenda kuomba ajira? Acha kazi, wachukue wenye uhitaji.
Una profession gani? Kama ni mwalimu ama bwana shamba kidogo shida maana utapangiwa vijijini na kama unasema umekulia DSM kidogo ni shida ila cha msingi we nenda secure hiyo check number ndio umhimu baadae utaangalia cha kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nakuona kichwani zimo,lakini kumbe una pumba tupuMbeya utaambulia kupigwa nondo au kulogwa, jiji gan ikifika saa 2 usiku watu wote wamejifungia ndani mjini hakuna mtu, Mbeya sio mji wa kuishi , uchawi kila kona, vibaka kila kona, bora ubaki dar uuze mchicha.