Kufanya kazi mkoani Mbeya

Wewe uambiwe ni mjinga mjinga huna kichwa wala mkia na lijitu huko from nowhere kwenye mada ambayo haiitaji hayo utafurahi? Hata hujakutana na mimi unasema nna madharau, unaishije na watu kwa kuhukumu ovyo wewe? . Dharau ikwapi hapo nimemjibu accordingly. Una inferiority complex. Sikushangai ni gonjwa letu waafrika. Ugua pole [emoji23]
Nimemuona anamadharau. Kwa madharau yake mbeya hapamfai atapata shida sana kuishi na hawa watu wakijipandisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwenye maisha hakuna kitu kizuri kama kupata exposure na kwa vile wewe ushaishi dar ni vyema uende mwenyewe ukajionee uhalisia wa maisha sehemu nyingine, Huku kila mtu atakushauri kulingana na mtazamo wake. Ushauri wangu we nenda maisha nipopote
 
Ukimaliza kazi zako weekend njo kyela nikupeleke ngonga au matema beach ni zaidi ya coco
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…