Kufanya installation ya software katika Ubuntu

Kufanya installation ya software katika Ubuntu

Hii kitu ndio ilinifanya nipende hizi linux os yaani no next next naona saivi os zote wametoa next next kwenye software nyingi ya unatumia app store zao done
Huyu itakuwa haiconnect kwenye internet ndio shida
Hata kwenye OS zingine unaweza tumia store yao na hautapata hzo dialog box zenye box. Windows kuna Microsoft Store na macOS kuna Appstore yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliachana na Windows muda mrefu. Ni mwendo wa Linux tu
 
Back
Top Bottom