Hamna install script yenye .sh mwisho? Eb fungua readme.txt utakuta maelekezoWakuu habarini za jioni.
Nimeshindwa kufanya installation ya software katika Ubuntu, kwa msaada wa picha naombeni msaada wa maelekezo.
Asanteni
Cc@Chief-Mkwawa View attachment 1693553
Pia unaweza install kwaWakuu habarini za jioni.
Nimeshindwa kufanya installation ya software katika Ubuntu, kwa msaada wa picha naombeni msaada wa maelekezo.
Asanteni
Cc@Chief-Mkwawa View attachment 1693553
Hahahaha ilikuwaje mkuu? Share kitu basi. Bado unaitumia?
Mm natumia pop!_OS. Ubuntu ipo basic sanaUbuntu ni nzuri sana. Mimi ni mwaka wa 6 huu natumia UBUNTU
Samahani sana mkuu, naomba nisidie hizo hatuaPia unaweza install kwa
$ sudo apt install teskdisk
Hii ni rahisi zaidi. Connect to kwenye internet kisha run hyo command kwenye Terminal
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ubuntu ina partitions mana wakati naiinstall sikuona option ya kutengeneza partition
Naipenda sana, kwenye network naona haisumbui ila kwenye kufanya installation ndo bado sijamaster, nimefanikiwa VLC tu.
Niliwahi kuweka ubuntu Enzi hizo zamani wakati window Xp ndo zilikuwa zinatumika, mambo mengi mengi nilikuwa nakwama ,sikuwa familiar nayo nikaamua kuitoa tuWakuu habarini za jioni.
Nimeshindwa kufanya installation ya software katika Ubuntu, kwa msaada wa picha naombeni msaada wa maelekezo.
Asanteni
Cc@Chief-Mkwawa View attachment 1693553
Iko based on Ubuntu ila ina features kadhaa zilizoengezewaHiyo inafanana sana na Ubuntu 20.04 karibu kila kitu
Fungua Terminal App (angalia kwenye app drawer)Samahani sana mkuu, naomba nisidie hizo hatua
Ongia youtube kuna kila kitu humo.Hivi ubuntu ina partitions mana wakati naiinstall sikuona option ya kutengeneza partition
Fungua Terminal App (angalia kwenye app drawer)
Kisha andika
sudo apt update then bonyeza enter (hapa pia itataka password, weka password then enter)
Then,
sudo apt install testdisk
Au tumia App store iliyokuja nayo. Utakuta apps nyingi tu mule
Sent using Jamii Forums mobile app