Kufanikiwa itakuwa ngumu

Kufanikiwa itakuwa ngumu

Mtoa mada umeleweka vyema ila kunawatu wataingiza mahaba ya hizo kazi Mi ni dereva wa magar makubwa na uzur karibia kaz zote hapo nimefanya na shida hizo zinakusahaulisha na kujiona umepatia yote ni kwasababu unauhakika wa kujipatia tuhela twa every na wengi wakijikuta wakijisahau kuwekeza na kuwekeza kunakuhitaji na kunahitaj muda wako ila kwa asilimia kubwa wengi wetu tunawekeza kwenye starehe coz uhakika wa kesho viten ten c upo nb: vijana wenzangu hizo kaz tuzifanye kama sehem ya kujipatia mitaji
 
Alishasema Snoop Dog kuwa tusapoti kijana mdogo anayeuza maji juani kwa sababu angeweza kuuza mihadarati kivulini. Mleta mada kama umeona mtu anafanya kazi ngumu yenye mafanikio madogo sio vema kumharibia kabisa hata yale matumaini kidogo aliyo nayo. Kingine pia hakuna mtu aliyepanga awe alivyo. Wote tumejikuta tumezaliwa hivi tulivyo. Pia hakuna anayejua dakika moja ijayo nini kitatokea.

Kuna watu walikuwa wanafanya hizo kazi lakini leo maisha yamebadilika wako vema. Mimi mwenyewe nimefanya sana kazi za saidia fundi nilipomaliza form 4 na likizo zote za advance nimepiga hizo kazi. Fundi wangu alikuwa mtu mkorofi mno matusi kwake ni kama kunywa maji ya baridi saa 8 mchana pale Kkoo. Pale site ni mimi tu alikuwa hanitukani kwasababu nilikuwa sitamki matusi na nilikuwa ndo msomi wa site 😁.

Kama huwezi saidia mtu mwombee kwa Mungu ambariki. Sio kuandika uzi wa kuwakatisha tamaa.
 
Ukweli mtupu mimi nimeendesha Bajaj miaka 3 hakuna mafanikio niliopata zaidi ya kila siku kukosea koswa kufa kwa ajali barabarani

Kifupi hakuna dereva Bajaj ambae anaweza kulala mwezi bila kufanya KAZI akasurvive.

Nimeona niache kazi za barabarani mana ukiwa barabarani muda wowote either MOI, mwananyamala au temeke hospital

Kifupi Kijana achana na KAZI ambazo zina risk ambayo inaweza kupoteze thamani yako Milele.

Nimeshaacha KAZI hiyo baada ya kuona napoteza muda na nguvu
Ahsante
 
Ukweli mtupu mimi nimeendesha Bajaj miaka 3 hakuna mafanikio niliopata zaidi ya kila siku kukosea koswa kufa kwa ajali barabarani

Kifupi hakuna dereva Bajaj ambae anaweza kulala mwezi bila kufanya KAZI akasurvive.

Nimeona niache kazi za barabarani mana ukiwa barabarani muda wowote either MOI, mwananyamala au temeke hospital

Kifupi Kijana achana na KAZI ambazo zina risk ambayo inaweza kupoteze thamani yako Milele.

Nimeshaacha KAZI hiyo baada ya kuona napoteza muda na nguvu
Ahsante
Kwenye bajaji hukupata limshangazi?

Mishangazi mnaipatapateje
Nami naipatapateje
 
Hizo sio kazi za Kudumu.

Ni kazi ambazo tunategemea mtu afanye kwa miaka 2/3 huku akitafuta mishe nyingine.

Nimekumbuka kuna wakati nikikua nasajili laini za simu za tigo wananipa commission ya 300,000 hapo nasubiri kwenda advance 😀
 
Usipende kuandika vitu kwa mihemuko, definition ya utajiri na mafanikio ni ipi?.


maana tuna ishi na kujuana na madereva bajaji, mafundi na boda, wenye maisha mazuri kuliko wengi walio mtaani.

bajaji, boda hamna hamna wana kunja 20-30k, kwa mwenye mkataba ana kitonga zaidi ya kupiga pesa na kumiliki chombo.

halafu hizi kazi zina wapa uzoefu kwenda katika hatua inayo fata.
 
Back
Top Bottom