mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,359
- 56,209
kuna jamaa yangu mke wake kajifungua mttoto miaka kama miwili iliyopita ,yule mtoto kafanana na mshikaji lakini mama wa mtoto kila saa akimuona aachi kusema we baba naniii umeniharibia mtoto yaani hadi kutembea,je hilo ni dongo au ndio lugha za mjini