Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Kama nilimwelewa vizuri mwishoni
It was a prank
And a bad one, lakini alitupata wengi

Kama watu wanavyoingizwa mjini in real life, wapo ambao wako tayari kudanganya online. And my special advise for any female members, don't ever let yourself feel pressured into making online friendships. If something feels wrong, don't get drawn in. Otherwise, yatakuwa kama yale ya Mpoleee. LOL.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mimi kiukweli sina mpango wa kukutana na yeyote humu
ila sioni kama ni shida watu kukutana
ni mtizamo wangu tu
sipendi kumdanganya mtu

Wewe wala hutaweza kunidanganya wakati tunaonana kwenye daladala kila asubuhi, isipokuwa weekends.
 
sijawai
mi huwa nakutana na nyie humu tu
labda nikutane na wewe

Usijiapize
Kukutana kupo hata kwa bahati mbaya au kwa kupanga vile vile
Kukutana sio kubaya ila tatizo unakutana na nani na kwa nini
maana wengine kukutana nao ni kama umejianzishia matatizo atataka akujue zaidi ya unavyojijua na akishakujua ndo mambo ya kukuanzishia story za vijiweni
 
kweli watanitamani buree? na mimi wa mtu
 
Mie sifahamiani na yeyote lakini natamani kweli kuwafahamu watu humu~~~~~~~~ hususan The Boss, japo kasema anahofu akifungua dirisha la kufahamiana nzi na wadudu wa kila aina wataingia lakini namtoa wasiwasi mie ni mdudu kipepeo, nikiingia nitaipendezesha nyumba~~~~~LOL,

Nipokuwa Dar mwishoni mwa mwaka jana kula X-Max, niliwajulisha wana JF, lakini wote walinichunia, jamani wana JF wa Dar ni wabaya kweli~~~~~~~~~~~LOL
 
Kwa mtizamo wangu sijui mods wataingilia vipi hili
Labda kwa kuchuja post kitu ambacho wanakifanya
Na hawezi kujua wakati mtu karusha dongo la ukweli au ni watu wanaotaniana sababu wanaelewana

Je waanza kuchunguza PM? ili watu wakigombana kwenye PM wawe wanachunguza wanavyojibizana kwenye sredi?

Mi nadhani unapopanga kukutana na mtu
Lazima ujue unajiingiza kwenye nini
Kama huna uhakika na unachofanya
Bora kuacha kabisa
Nikisoma baadhi ya "posts" za "new members" - ambao wanaongezeka exponentially [of which is good?] naona kama there is a growing tension of misunderstanding between some members and this is "killing the spirit of JF"!

Possibly it is a high time MODS waka-move in ku-clear the sky!
 
Mie sifahamiani na yeyote lakini natamani kweli kuwafahamu watu humu~~~~~~~~ hususan The Boss, japo kasema anahofu akifungua dirisha la kufahamiana nzi na wadudu wa kila aina wataingia lakini namtoa wasiwasi mie ni mdudu kipepeo, nikiingia nitaipendezesha nyumba~~~~~LOL,

Nipokuwa Dar mwishoni mwa mwaka jana kula X-Max, niliwajulisha wana JF, lakini wote walinichunia, jamani wana JF wa Dar ni wabaya kweli~~~~~~~~~~~LOL

Labda hufanyi extra communication.
 
Hhmm binafsi sioni tatizo, labda kama hao watu wamezoea na wanapenda kuuungwa mkono na kusifiwa tu.

Mimi nnaowafahamu tunapingana kwa hoja jamvini na bado urafiki unaendelea. Hamna haja ya kumbadilikia mtu kisa mmetofautiana hoja.

ila kuna mijitu mingine inapenda ujiko tu hasa kwenye swala zima lakujuana kila mtu yupo juu ya mwenzake..
 
Back
Top Bottom