Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Mitishamba umenichekesha sana,ila ukweli ni huo,nani ya JF anajidai mstaarabu,nje ya hapa hovyoooo!
 
Huwa wanaanza hivyo hivyo.

Anyways, sasa hapa mnataka kufahamiana au kutongozana? Au kujuana au kupeana deal wapi kitimoto poa au jamii sacosi au shamba la jf au nini hasa.

watu ndo wanatafuta stimu ya kuombana mizigo hivyo.!
 
Mitishamba umenichekesha sana,ila ukweli ni huo,nani ya JF anajidai mstaarabu,nje ya hapa hovyoooo!

Nina evidence nying sana.
Nawachungulia kwa mbaaaali!

Najua jitihada zitafanyika ili niende lupango....lakini hiyo haitaondoa ukweli!
 
Back
Top Bottom