Kufa kwa intelijensia ya CHADEMA

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,395
104,552
Kama mnakumbuka CHADEMA ilikuwa ni chama kinara wa kudaka taarifa za kiintelijensia zikiwemo za kuhujumu chama na ufisadi.

Mifano ipo mingi, intelijensia ilimnyaka Zitto akisaidiana na CCM kukiua chama. Kina Shonza na wenzie walinaswa kabla hawajaleta madhara nk

Lakini leo hii hali ni tofauti kabisa, CHADEMA kimekuwa chama kisichojua chochote kuhusu usalama wa watumishi wake,hakijua alipo Ben Saanane, hata kujua tu ni kina nani wamefanya haya.

CHADEMA ilikuwa chama cha kuwahi kabla hakijawahiwa. Zitto tulimuwahi, Shonza na wenzake walizimwa kabla na mapema. Lakini leo hii hata madiwani washamba kabisa wanashindwa kujjlikana mapema hujuma zao na kufukuzwa kabla ya kujiuzuru.Hovyo kabisa.

Lazima tukubaliane Dr. Mashinji kazubaa sana.
 
Nakuunga mkono hoja yako mkuu umeandika point Chadema waliwahi kubaini madiwani wake wanne ambayo walipewa milioni 70 kwa ajili kuzijiulu udiwani wakafukuzwa kwenye chama .Hili la Arumeru ushahidi upo lakini chama wapo kimya wameshindwa hata kuchukua mapema kuna nini?
Lakini leo hii hali ni tofauti kabisa,CHADEMA kimekuwa chama kisichojua chochote kuhusu usalama wa watumishi wake,hakijua alipo Ben Saanane,hata kujua tu ni kina nani wamefanya haya.
 
Kama mnakumbuka Chadema ilikuwa ni chama kinara wa kudaka taarifa za kiintelijensia zikiwemo za kuhujumu chama na ufisadi.

Mifano ipo mingi,intelijensia ilimnyaka Zitto akisaidiana na CCM kukiua chama. Kina Shonza na wenzie walinaswa kabla hawajaleta madhara nk

Chadema ilikuwa chama cha kuwahi kabla hakijawahiwa. Zitto tulimuwahi,Shonza na wenzake walizimwa kabla na mapema. Lakini leo hii hata madiwani washamba kabisa wanashindwa kujjlikana mapema hujuma zao na kufukuzwa kabla ya kujiuzuru....Hovyo kabisa.

Lazima tukubaliane Dr.Mashinji kazubaa sana.
Alafu mnadai madiwani wamenunuliwa!
 
Kwamba iweje Chadema haijui kina nani wamemfanya nini Saanane,kwamba iweje Chadema ishindwe kuzima hujuma za madiwani wake?
Labda sababu mikutano ya kisiasa ya nje imepigwa ban kama sio ktk jimbo la mbunge, nashauri jpm aruhusu mikutano kila mahali intelijensia ya chadema itakuwa sawa!
Kheeeee kheeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeee, nacheka kama mzee majuto na kwa dharaaaaaaaaauuuuuuuuu!
 
Kumbe mnahitaji chadema kuliko inavyowahitaji eeehhh tulieni dawa iwaingie. Si mlisema chama cha matamko mara cha maandamano. Now tulieni hvyo hvyo. Magu endelea kutunyoosha baba tena sana tu. Ongeza spidi magu mbrrrrrrrr wiiii!
 
Kama mnakumbuka Chadema ilikuwa ni chama kinara wa kudaka taarifa za kiintelijensia zikiwemo za kuhujumu chama na ufisadi.

Mifano ipo mingi,intelijensia ilimnyaka Zitto akisaidiana na CCM kukiua chama. Kina Shonza na wenzie walinaswa kabla hawajaleta madhara nk

Lakini leo hii hali ni tofauti kabisa,CHADEMA kimekuwa chama kisichojua chochote kuhusu usalama wa watumishi wake,hakijua alipo Ben Saanane,hata kujua tu ni kina nani wamefanya haya.

Chadema ilikuwa chama cha kuwahi kabla hakijawahiwa. Zitto tulimuwahi,Shonza na wenzake walizimwa kabla na mapema. Lakini leo hii hata madiwani washamba kabisa wanashindwa kujjlikana mapema hujuma zao na kufukuzwa kabla ya kujiuzuru....Hovyo kabisa.

Lazima tukubaliane Dr.Mashinji kazubaa sana.
Hakiwezi kuwa na intelligence makini kwa akiri za akina mashinji watu wenye uwezo na makini hawapo chadema sasa

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Hivi nini kinaendelea mbona wengine hatujulishwi bado game mbichi hii 2020 naona iko karibu sana

kimeo
 
Hawataki kutumia hela kupata hela,,

ili uweze kupata intelligence uwe tayari kuwalipa human asset ambao ndo wanakuletea intelligence,
sasa cdm sikuhizi sijui hela wananywea tu,
mbona kuna vijana machachari kama kina yerico walikuwa wanatutoa kamasi buku 7,
saa hizi kweli bavicha mnatia huruma kweli kweli
 
Toa mashinji,weka Lema,toa Mbowe weka Lissu!
Toa Lowasa,toa Sumaye tena flash kabisa toka chamani!
Halafu ingiza viongozi vijana chamani!
Hasahasa Lowasa,kwani anakizeesha chama kiitikadi na kimwenekano!
 
Kama mnakumbuka Chadema ilikuwa ni chama kinara wa kudaka taarifa za kiintelijensia zikiwemo za kuhujumu chama na ufisadi.

Mifano ipo mingi,intelijensia ilimnyaka Zitto akisaidiana na CCM kukiua chama. Kina Shonza na wenzie walinaswa kabla hawajaleta madhara nk

Lakini leo hii hali ni tofauti kabisa,CHADEMA kimekuwa chama kisichojua chochote kuhusu usalama wa watumishi wake,hakijua alipo Ben Saanane,hata kujua tu ni kina nani wamefanya haya.

Chadema ilikuwa chama cha kuwahi kabla hakijawahiwa. Zitto tulimuwahi,Shonza na wenzake walizimwa kabla na mapema. Lakini leo hii hata madiwani washamba kabisa wanashindwa kujjlikana mapema hujuma zao na kufukuzwa kabla ya kujiuzuru....Hovyo kabisa.

Lazima tukubaliane Dr.Mashinji kazubaa sana.
Kwa hiyo Dr Slaa alikua hazina kwa chama au sio ?
 
Back
Top Bottom