Kuexpire kwa simcard ya TIGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuexpire kwa simcard ya TIGO

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwiyuzi, Mar 12, 2012.

 1. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Ni sababu gani zinazosababisha laini kuexpire? Kwa nini TIGO hawakoclear kueleza laini zao zinaexpire baada ya muda gani, ili mtu ujue kabla, kwani kuna wakati laini inaweza kuharibika ukiwa unahitaji kufanya mawasiliano ya muhimu na kwa muda huo.

  Mimi nimerenew simcard kwa mara ya pili sasa ndani ya miaka miwili wakati simcard ya VODA hajaiwahi kuexpire na huu ni mwaka wa tano tangu nianze kuitumia.

  Whats wrong with Tigo??
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ...hii kampuni inalalamikiwa kila kukicha!lakini pia kila kukicha watu wapya wanajiunga...ni kwamba pia tigo inapendwa au?
  ndugu iyo ni kweli na ukifika wanakwambia tu "inabidi ubadili simcard yako"...tatizo?..."huwa inatokeaga tu ivyo"....alaaah!bito imejaa jameni njoni huku!
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,777
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hamia eyateli, wewe jamaa na marafiki zako. Au hamia vodakomu mtandao wenye gharama nafuu tanzaniya!
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nani kasema mimi nihame Tigo? Kuna raha za ajabu ukitumia Tigo jamani.
   
 5. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  .........kama haitoshi unaambiwa ulipie laini mpya..........mimi nimerenew 2,000 kwa wakala wao!INAKERA SAANA
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ni aina yao ya kuibia watu hii...
   
 7. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,420
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nasubiria tu wanichokoze na mimi tuone kama wataniona tena
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,271
  Likes Received: 4,249
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmh!!!!!!!!
   
 9. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unachoguna nini?muone kwanza umbea tu.
   
Loading...