Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Ulitaka mpaka watoto uwaone...Huu ndio mji mzima wa Iringa? Tupeni picha ya umati huo ama acheni propaganda zenu hapa.......
Ulitaka mpaka watoto uwaone...Huu ndio mji mzima wa Iringa? Tupeni picha ya umati huo ama acheni propaganda zenu hapa.......
Ushabiki bwana, "mji mzima" wa Iringa una watu hao tu?
Una screen ya kujaza mji mzima acha ushamba.Huu ndio mji mzima wa Iringa? Tupeni picha ya umati huo ama acheni propaganda zenu hapa.......
Ushabiki bwana, "mji mzima" wa Iringa una watu hao tu?
hapo ndipo panaponiacha hoi, lile jamaa halihojiwi, haliguswi wala halisogelewi na kina Kikwete, sijui anawafanyaga nini , kweli sielewi.
:becky::becky::becky: Imenikumbusha yule mkuu wa wilaya wa BK:becky::becky::becky: Check Lowasa alibana miguu MP anajuta ya nini alichakuguliwa kuongoza Serikali :becky::becky::becky:
Last picture I cana guess who was making the speech Mr................:becky::becky::becky:
Nimeipenda hii
:becky::becky::becky: Imenikumbusha yule mkuu wa wilaya wa BK:becky::becky::becky: Check Lowasa alibana miguu MP anajuta ya nini alichakuguliwa kuongoza Serikali :becky::becky::becky:
Acheni utani jamani. Na huyu naye ameshakuwa MPAMBANAJI wa rushwa? Du kazi ipo
:becky::becky::becky:, nimecheka si kawaida - serikali yote imelala :becky::becky::becky:,
Huu ndio mji mzima wa Iringa? Tupeni picha ya umati huo ama acheni propaganda zenu hapa.......
Mwakalebela ni "outsider". Ajaribu tena mwaka 2015. Mwenzake Rage kule Tabora kimeeleweka!