Uwezi mkuta mwamposa au kuhani Musa kweny kashfa Kama hziBora mitume na manabii walioibuka na maji na mafuta yao kuliko hao viongozi waliokuwa wakali kukemea dhambi siku hizi wanawaza mambo ya siasa tu huku wakiacha kukemea mmomonyoko wa maadili
uwezi= huwezi?Uwezi mkuta mwamposa au kuhani Musa kweny kashfa Kama hzi
Huwez mkuta mwamposa eti amegegeda watot sijui wahumini hapn uwezi mkuta
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unajuaje ? ng'ong'o unamlinda weweUwezi mkuta mwamposa au kuhani Musa kweny kashfa Kama hzi
Huwez mkuta mwamposa eti amegegeda watot sijui wahumini hapn uwezi mkuta
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kanisa ni nini ewe mkurupukaji?Kiukweli inatamausha sana kusikia haya matukio ya mra kwa mara kwa kunyanyswa Watoto na Watu ambao ilitarajiwa kuaminiwa na Jamii.
Hainiingii akilini ni kwa vipi Taasisi yenye Wasomi kushindwa kuweka mifumo ya kudhibitiana wao kwa wao...hivi mnashindwa vipi kutambua Mwenendo wa Mwenzenu anayekengeuka mpaka anafikia kufanya madhara makubwa?.
Hamuoni hii pamoja na kuitia doa taasisi bali inazusha maswali mengi kwaJamii kufikiri labda yanayofanyika ni sehemu ya shughuli za taasisi yenu?.
Kama nyie mnashindwa kuwa Viongozi wa kuaminiwa mnataka Jamii imkimbile nani?.
Ipo haja kwa Uongozi mzima wa Kanisa kutoka mbele na kujitakasa kwa Jamii kuwa ni kwa nini tuendelee kuwaamini ikiwa Jamii hapo salama mikononi kwao?. mje na mpango utakaoonesha njia mtakazotumia kuwahakikishia Jamii usalama wao mikononi kwenu.
Haitoshi tu Kanisa kujitenga na muovu, ni vyema kusikia uwajibikaji wa Kanisa zima, tofauti na hapo ni sawa na kuleta ngonjera zilizozoeleka.
Au mnataka tufikie mahali Jamii iwasuse?.
Yaani hata mke mwenyewe wa huyo Mwamposa (kama yupo), au mke wa huyo Kuhani Mussa wakiona huo ugoro alio uandika huyo jamaa, wanaweza kumchapa hata vibao!Unajuaje ? ng'ong'o unamlinda wewe
Ahahaahah mamndenyi uwez mkuta mwamposa amegegeda mtot banaUnajuaje ? ng'ong'o unamlinda wewe
Mwamposa naye ni kama tu Mtu mwingine yeyote.Ahahaahah mamndenyi uwez mkuta mwamposa amegegeda mtot bana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app