Kuelekea Xmass Dar Express aingiza mashine mpya barabarani

Kuelekea Xmass Dar Express aingiza mashine mpya barabarani

Shukrani.
Kwa hiyo hizo dar lux ni bus gani?
Alafu hizo scania ni shida, nilipanda rungwe yaani kitonga zinapanda kama zinateremka. Basi za mchina karibu zote zilizotangulia tulipofika maeneo yq milima ya udzungwa, zilianza puguzwa moja baada ya nyingine.
Marcopolo za dar lux sio scania, nilishachungulia nione palipoandikwa nkakosa
 
Kama mtaalamu wa mabus ukiyangalia kwa makini utajua ni ya kampuni gani.
Nimeshindwa kuelewa KLM na DAR EXPRESS wanazo zinazofanana na hizo za DAR LUX lkn zimeandikwa SCANIA ndio maana nkahisi kuna tofauti
 
Back
Top Bottom