Hizo chuma alizoshusha Dar express ni Gemilang mkuu.mbona na lenyewe kama mchina tu sema badala ya kuandikwa ZHONGTONG litakuwa limeandikwa DAREX-TONG!
sema DAR EXPRESS KAFULIA SANA MAMBO darlux weeeee wacha kabisaaaa
Rungwe anazo pia,Tashriff pamoja na Burdani korogwe..wote wana scania gemilang..Kumbe Kama zile za modern coast
gemilang za dar ex ndani za kawaida sana seat 54 viti vya ajabu alafu sio salama kwa watu warefuRungwe anazo pia,Tashriff pamoja na Burdani korogwe..wote wana scania gemilang..
Tz katika route zote zinazoeleweka hakuna route ambayo haina tajiri anaetokea kilimanjaro hakuna. watu wa kaskazini wameushika uchumi nyuma ya shombe shombe.mikoa ya kaskazini hasa Kilimanjaro ndio inaongoza kuwa na mabasi imara
yote kwa yote karibia kampuni zote za mabasi za tz ni za watu wa kaskazn mainly Kilimanjaro mifano michache
kidia one
Kilimanjaro exp
hai exp
happy national
Osaka
prince muro
lucky star
BM
mtei exp
machame safari
lim safari
meridian exp
tilisho exp
mghamba exp
ngorika exp
Simba mtoto
hapa ni kwa uchache tu
cc
britanicca
falcon mombasa
MBONA DAR LUX ana gari nzuri sana lakin hakukuwa na kelele?mikoa ya kaskazini hasa Kilimanjaro ndio inaongoza kuwa na mabasi imara
Sasa sisi wa mkuranga inatuhusu ninimikoa ya kaskazini hasa Kilimanjaro ndio inaongoza kuwa na mabasi imara
yote kwa yote karibia kampuni zote za mabasi za tz ni za watu wa kaskazn mainly Kilimanjaro mifano michache
kidia one
Kilimanjaro exp
hai exp
happy national
Osaka
prince muro
lucky star
BM
mtei exp
machame safari
lim safari
meridian exp
tilisho exp
mghamba exp
ngorika exp
Simba mtoto
hapa ni kwa uchache tu
cc
britanicca
falcon mombasa
Wafanyabishara wanaangalia mashine na ugumu wa body..mchina mzuri kwenye kuremba body yaani interior na mambo mengine..gemilang za dar ex ndani za kawaida sana seat 54 viti vya ajabu alafu sio salama kwa watu warefu
Beba box tu mkuu kujiajiri huwezi tena, ukizeeka rudi bongo uwe mchekeshaji kama Dr shika
Sio mabus yote yenye body za marcopolo ni scania mengine yana body ya marcopolo injini imeundwa china au india.Umetumwa wewe! Huu mbona ubavu wa gari la mchina kabisa. Mcheki dar lux kaleta scania, tahmeed kaleta scania tena za kisasa, rungwe express ana mashine scania za kisasa litonga zinapanda kama zinateremka wewe unaongelea huo ubavu wa mchina? Dar lux atawatoa relini msipoangalia maana keshaingia ruti yenu.
Ni wapi mie nimeongelea mambo ya body ya marcopolo? Naongelea SCANIA na nembo yake.Sio mabus yote yenye body za marcopolo ni scania mengine yana body ya marcopolo injini imeundwa china au india.
Dar lux hana ScaniaNi wapi mie nimeongelea mambo ya body ya marcopolo? Naongelea SCANIA na nembo yake.
Usichanganye mambo, scania sio marcopolo.
Dar lux sio scania japo body ni marcopolo tahmd ni scania body ya master fabricator rungwee ni scania body gemilang.Yote kwa yote Dar express anastahili kupongezwa hajawai kuleta bus za kichina kwenye biashara yake.Ni wapi mie nimeongelea mambo ya body ya marcopolo? Naongelea SCANIA na nembo yake.
Usichanganye mambo, scania sio marcopolo.
All in all atutafuti kushindana tunawapongeza hao Watanzania wenzetu waliothubutu kufanya biashara ya usafiri wa abiria.Umeangalia body tu au hata nembo na jina? Labda nimeingizwa cha kike kwa kuona nembo ya scania na jina scania ktk hizo basi ambazo zina body ya marcopolo pia.
Kaone mashine kali za DAR LUX zina warembo ndiyo madereva.Kamwaga za kutosha njia ya arusha nairobi kahama mwanza mbeya... Kilimanjaro, Tahmeed ! Leteni magari yanayoeleweka , ya kichina kila siku mnatuchomea watu Na mizigo yetu!View attachment 968642View attachment 968643