Kuelekea Xmass Dar Express aingiza mashine mpya barabarani

Airbus A220-300 ipo mbioni kuwasili bongoland. Achana na mabasi ya kichina.
Japo nilikuwa mkosoaji wa safari za Jakaya nje ya nchi, naona afadhali kuliko Jiwe anayetusumbua na uzinduzi kila siku.
Mawaziri wawepo, Speaker wa Bunge, Waziri Mkuu, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Wanafunga barabara Jiwe apite. Saa ngapi za kazi zinapotea?
Kuzindua yeye, kuweka jiwe ka msingi yeye. Hivi Watanzania hatuna kazi za kufanya?
 
Dar lux sio scania japo body ni marcopolo tahmd ni scania body ya master fabricator rungwee ni scania body gemilang.Yote kwa yote Dar express anastahili kupongezwa hajawai kuleta bus za kichina kwenye biashara yake.
Shukrani.
Kwa hiyo hizo dar lux ni bus gani?
Alafu hizo scania ni shida, nilipanda rungwe yaani kitonga zinapanda kama zinateremka. Basi za mchina karibu zote zilizotangulia tulipofika maeneo yq milima ya udzungwa, zilianza puguzwa moja baada ya nyingine.
 
mikoa ya kaskazini hasa Kilimanjaro ndio inaongoza kuwa na mabasi imara
yote kwa yote karibia kampuni zote za mabasi za tz ni za watu wa kaskazn mainly Kilimanjaro mifano michache
kidia one
Kilimanjaro exp
hai exp
happy national
Osaka
prince muro
lucky star
BM
mtei exp
machame safari
lim safari
meridian exp
tilisho exp
mghamba exp
ngorika exp
Simba mtoto
hapa ni kwa uchache tu
cc
britanicca
falcon mombasa
Kama n mabasi mazuri Songea to Dar ndio wanabasi nzuri sana Superfeo,Selou na New force.
Wanaweza kufuata Njombe to Dar nako hakuna gari mbaya kwa ruti hii labda Upendo

Sio kweli kuwa kuwa wamiliki wengi wa mabasi wanatokea Kilimanjaro/Arusha labda huna exposure ya kutosha.

Kila upande una makampuni ya kutosha ya mabasi kwa mfano mwanza makampuni mengi yanamilikiwa na watu wa kanda ya ziwa,Arusha na Moshi makampuni mengi ya upande huo yanamilikiwa na wazawa wa huko,Mbeya Iringa na Njombe makampuni mengi yanamulikiwa na wazawa likewise Ruvuma na Mtwara
 
Kweli kabisa route ya songea hakuna bus la hovyo yote yamesimama
 
Mazuri kufananisha na route ya kaskazini au
Kama n mabasi mazuri Songea to Dar ndio wanabasi nzuri sana Superfeo,Selou na New force.
Wanaweza kufuata Njombe to Dar nako hakuna gari mbaya kwa ruti hii labda Upendo

Sio kweli kuwa kuwa wamiliki wengi wa mabasi wanatokea Kilimanjaro/Arusha labda huna exposure ya kutosha.

Kila upande una makampuni ya kutosha ya mabasi kwa mfano mwanza makampuni mengi yanamilikiwa na watu wa kanda ya ziwa,Arusha na Moshi makampuni mengi ya upande huo yanamilikiwa na wazawa wa huko,Mbeya Iringa na Njombe makampuni mengi yanamulikiwa na wazawa likewise Ruvuma na Mtwara
 
Mazuri kufananisha na route ya kaskazini au
Kwa route zote zinazotumia semi luxurious buses mabasi mazuri yapo
1.Songea to Dar
2.Njombe to Dar
3.Moro to Dar
Hapo n mwendo wa Zhongtong Climber na Youtong F12 Upper class tu
Kwa hizi route.
Hao wengine wanamixture ya mabasi mazuri na Yale ya kawaida

Luxurious bases zipo chache sana nazo n Shabiby na kimbonyiko Dodoma to Dar,Tahmeed Dar to Mombasa,Darlux NaTahmeed Dar to Nairobi

Dar express anagari za kawaida sana hata hizi mpya n za kawaida hajafikia kiwango cha scania za Rungwe na Darlux
 
Japo nilikuwa mkosoaji wa safari za Jakaya nje ya nchi, naona afadhali kuliko Jiwe anayetusumbua na uzinduzi kila siku.
Mawaziri wawepo, Speaker wa Bunge, Waziri Mkuu, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Wanafunga barabara Jiwe apite. Saa ngapi za kazi zinapotea?
Kuzindua yeye, kuweka jiwe ka msingi yeye. Hivi Watanzania hatuna kazi za kufanya?
Napenda kusifiwa na kuonekana kwenye front page kila siku.
 
Ngapulila
mkuu nimekuambia hebu angalia ktk makampuni yote ya mabasi utagundua mengi karibu 50% pekee yanamilikiwa na watu wa kaskazn,hata route tofauti na za kaskzn
mfano mbeya dar
Kuna Prince muro,happy national,hai exp,luck star zote za wachaga,ukija dar mwanza utakuta kina kidia one,happy national,ukija dar bukoba unakuta kina osaka,muro,karibia route zote yapo mabasi ya wachaga
 
Mwenye nchi hajamwonea kijicho tu, akaamua kutumia pesa za walipa kodi kununua mabasi?
 
Tz katika route zote zinazoeleweka hakuna route ambayo haina tajiri anaetokea kilimanjaro hakuna. watu wa kaskazini wameushika uchumi nyuma ya shombe shombe.
mkuu jitahidi uwe 1 wao wa wanaomiliki #itakuwa vibaya kusifia shule yenu imekua ya 1 akati wewe umepata div 4 #
 
Ngapulila
mkuu nimekuambia hebu angalia ktk makampuni yote ya mabasi utagundua mengi karibu 50% pekee yanamilikiwa na watu wa kaskazn,hata route tofauti na za kaskzn
mfano mbeya dar
Kuna Prince muro,happy national,hai exp,luck star zote za wachaga,ukija dar mwanza utakuta kina kidia one,happy national,ukija dar bukoba unakuta kina osaka,muro,karibia route zote yapo mabasi ya wachaga
Kumbuka Makampuni n mengi kwa mfano Kanda ya ziwa na Kigoma,Tabora na Dodoma,Lindi Mtwara,Iringa,Njombe na Songea,Mbeya na Rukwa

Haya n maeneo ambayo Makampuni ya mabasi route za kuja Dar wamiliki wa mabadi n labda 10%-20%wanatoka kaskazini.Ukishuka kwenye makampuni yanayotoa Huduma Mkoa na Mkoa uwiano unashuka zaidi ya hapo

Utakuwa upo sahihi kwa kuchukua mikoa ya kaskazini yenyewe Tanga na Dar
Kuna mabadiliko makubwa sana ya umilikaji wa uchumi tembea uone
 
Sio mabus yote yenye body za marcopolo ni scania mengine yana body ya marcopolo injini imeundwa china au india.
Na marcopolo ya DAR LUX sijaona mahali imeandikwa SCANIA sijui model gani ile!!
 
Back
Top Bottom