Kuelekea Valentine jirani yangu amekuwa kero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea Valentine jirani yangu amekuwa kero

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Feb 8, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Nina jirani yangu amekuwa kero sana kuelekea hiki kipindi cha watu wapendanao.
  Vioja na vituko anavyo nifanyia imekuwa too much sijui ananilingishia? Kila siku anabadili wanawake kila sample anakuja nao leo nimechoka nimeona anafanya matusi uwanjani sijui nifanyaje nimpeleke kwa mjumbe? Nikimwambia anaweza sema namwonea gele dahh heshima sasa imeenda likizo huyu jamaa.
  Sijui anatest yupi wa kutoka nae 14/02 dah wala sijui
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  mpwa mida hii ndo umetoka kumpiga chabo nini LOL:coffee:
   
 3. soso

  soso Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2007
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wivu tu unakusumbua...
  mtu anasafisha bomba la nyama lake we unachonga:roll:
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mpwa nimetoka kupiga Kili narudi naona jamaa anacheza uwanjani huu mchezo wa faragha
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Sasa jamaa asafishe tendo hilo kama anavyo fanya jogoo? yeye popte pale akinogewa anafukuza hajali umekaa na dingi au sista
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Duh huyo kiboko hadi nje? Ina maana hana fence au
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Fence hakuna uwanja upo wazi kabisa jamaa anajipendelea dah
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mwanangu kidume huwa hakilalamiki kinapoletewa dharau kama hizi.
  Huyo dawa yake unaleta mzigo kama huo hapo chini halafu unaulia uwanjani kama yeye..
  Kesho yake atakualika kitimoto na bia kwa matumaini kwamba ipo siku utaleta mzigo na rafiki yake na yeye ajishindie:
  View attachment 22507

  Kazi kwako.....
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mvumilie mkuu!! Siku ukisikia karuka na miwaya ndio! utajiona wewe ndio komandoo! Hayo mambo hayana umaarufu wala usterling siku hizi!! lol!!
   
 10. LD

  LD JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmmh kaka,usijekuwa mpiga chabo lol!
  Nitaamini je kama ni uwanjani na wewe umeshapata serengeti za vuguvugu hapo.
   
 11. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu jibu mapigo!!!!:twitch:
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole mpwa jirani hafai kabisa kama kuna watoto analeta picha gani?? bora ukamshitaki tuu
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  halafu shaidi wa kwanza ni watoto........
   
 14. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mpwa nilitaka kushangaa wiki ikate hii bila kituko cha Uswahilini..lol:clap2:
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!hata mm ningeshangaa,,,lol!huyo ndo fidel
   
 16. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hee mkuu vipi? nimecheka sana.
   
 17. loveness love

  loveness love Senior Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmm bana walikua wanacheza mchezo wa faragha au KIDUKU?????????????

  we umesema umetoka kupata kinywaji ubongo ukawa um... kidogooo sasa wenzio wana dance we unadhani mambo ya faragha au huja du long???????? sorry for that mkuu.
   
 18. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Fuatilia mambo yako acha ya wenzio, au anakutia katika kishawishi?
   
 19. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wewe tulia tu, subiri siku hiyo ya 14/2 kuona sinema.
   
 20. loveness love

  loveness love Senior Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ninae kumezea hupo? kumbe unapenda vituko uswazi
   
Loading...