Basi wasifanya uchaguzi kama ndo hivi, Zitto atatumiwa na MAFISADI hajakomaa kumbuka sakata la DOWANS
Japo nimeona story ya jana ya Majira kuwa Dr. Slaa, hagombei, kwa Chadema ninayoiona mbele, Dr. Slaa M/Kiti, Zitto ni Katibu Mkuu.
Habari ambazo nimezinyaka hivi punde toka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CHADEMA zinasema kuwa Mhe. Zitto Z. Kabwe anatarajiwa kuwa mmoja wa wagombea nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Zaidi nitawafahamisha kadiri muda unavyokwenda
Zina ukweli habari hizi!
I really hate this statement. Hiyo experience mnayoing`ang`ania ndo imetufikisha hapa. Hivi nyinyi mnataka kapriensi ipi? Si ni hii experience ya kina Kingunge, Chenge nk..imetufikisha hapa tulipo?
Please, mi naomba tukiwa tunajdili mstakabali wa taifa letu tuwe tunakuwa serious kidogo.....hivi kukomaa kisiasa (au namna nyingine yoyote ile) ni umri wa mtu au ni mawazo na michango yake katika kutoa hoja?
To be experienced means being wise enough to avoid mistakes you made in the past.I really hate this statement. Hiyo experience mnayoing`ang`ania ndo imetufikisha hapa. Hivi nyinyi mnataka kapriensi ipi? Si ni hii experience ya kina Kingunge, Chenge nk..imetufikisha hapa tulipo?
Please, mi naomba tukiwa tunajdili mstakabali wa taifa letu tuwe tunakuwa serious kidogo.....hivi kukomaa kisiasa (au namna nyingine yoyote ile) ni umri wa mtu au ni mawazo na michango yake katika kutoa hoja?