Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Habari zenu waungwana wa jf ,mimi nimekua nikiangalia mIjadala kibao ya siasa humu ndani lakini bado najiuliza swali moja gumu sana. Na swali lenyewe ni kwamba hivi kweli watu wote humu ndani mnaamini kwamba chadema ama chama kingingine chochote kkikiingia madarakani basi wizi ufifadi utaisha ? Ama pia mnahisi maisha yenu yatabadilika ?mhh ! Acheni kujidanganya ndugu zangu.mimi mtazamo wangu ni kwamba maisha ya wale watakao ingia madarakani ndio yatabadilika ila sisi wengine tutaendelea kuwa pale pale.kwa sababu watakao chukua nchi hawatoki mbinguni ama pia hawatokua sio binaadamu na kwa mantiki hiyo watafanya yale yale ya kiubinadamu ambayo ni tamaa,wizi,uongo na kadhalika msikae makjidanganya eti nimeona humu jamvini kuna watu wana diriki kusema watu fulani ni wakombozi !!! Mhhh jamani tuache Mambo haya, yani kukaaa nakusema Cuf ama Chadema na vyama kadhalika wakichukua madaraka basi wizi utaisha ama maisha yakua bora ? 'it is crazy'.
Naomba mnipe mfano wa nchi moja Ama mbili tatu hapa afrika ambayo chama cha upinzani ama baada mtu mpya kua Raisi mambo yamekua kama mbinguni ?jamani yote haya ni siasa.acheni kujidanganya jameni wote hawa watu ni binadamu kama sisi sote na wananjaa kama sisi sote,wakisha pata kazi hua wanatusahau kama jinsi tulivyo sisi binaadamu.
Nawakilisha
Radikali -aka Rk
Mafisadi wako wa aina nyingi .Huu upupu unasema ndiyo nini ? Mode futa hii wala si kuhamisha .Arudi huko huko waliko mtuma akawaambie kule hawaingiliki .