Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,953
- 49,705
Siku si nyingi nitasherekea siku yangu ya kuzaliwa na kuaga ujana kwa amani
Namshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa huruma na Rehema kwa wema na baraka zake nyingi saana katika maisha yangu.
Siku hiyo nitaenda kusherekea na watoto yatima sehemu flani, so naombeni kampani ratiba ipo hivi tutaenda asubuhi, tupike chai, tuwafulie tupike mchana, tucheze nao then tuondoke vitu vya kupika na sabuni za kufulia ninazo.
Nawakaribisha sana kwenye party yangu kama upo interested njoo pm nikupe kadi kama una nguo hutumii au mashuka ila yasiwe na ramani za sayari ya mars huko. unaweza kuleta naombeni niliowakosea mnisamehe sana tuanze upya, eneo ni Dar.