Kwa upande wangu mwaka huu nimefanikiwa kupata jiko pekee mengine Mungu anajuaJe katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani?
Je umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
Matarajio yapi hayo na umejipangaje kwa mwaka mpya,usiwe Kila mwaka ni tujipange kwa mwaka mwingine inaboaMwaka mbaya sana kwangu upite tu sitaki hata kuuwaza ni mwaka ambao nilikua na matarajio nao makubwa, imekua kinyume chake,
Oyaaa tukutane mwakani💪
Holoholo, Lovely Emmy, King Suleiman now General Ngona.
Nilikuwa na lengo la kwenda Canada