Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

.
IMG_20190316_172008_129.jpeg
 
Mungu ibariki AS Vita, Amen


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mechi na soura mliandika heading shoo ya kibabe... ghafla mkaingia mitini.. na huu uzi msije ukimbia tu
Wewe Simba SC ni Taifa kubwa..Hivi ulidhani hatujui tulifanyalo..Tushangilie pamoja tumeshinda Tanzania
 
Danganyaneni tu maana nyie ni mambumbumbu wa kiwango cha juu. Msisahau jumamosi si mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabokota kunyavu bakoka nangai..Kiko wapi sasa Chura wa bwawani?

Simba SC habari nyingine, Michuano hii Simba imewahi kutika nusu fainali kwa taarifa yako 1974

Nenda kawasindikize wakata viuno wako Airport... nyie
 
Ni kweli heshima imerudi..Ila soka la Afrika halitofautiani sana yaani inategemea umejiandaa vipi.

Wakongo walijisahau sana walijiona wamemaliza ilhali waliambiwa Simba wamejiandaa vilivyo kupata alama 3 nyumbani.

Tufurahi Tanzania imeshinda, tunashukuru kwa changamoto zenu zilitusaidia..SimbaNguvuMoja
Watani mmerejesha heshima ya taifa lkn sio kawaida yenu tunaamin Kwny soka kubahatisha kupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom