Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu nyingine ambayo IMEKUNG'UTWA (5x2)+2.

Unajua Mbumbumbu FC mna shida kubwa sana ya ufahamu vichwani na ndio maana Manara anaweza kuwagonga FIX ameandika barua FIFA nanyi mkakubali. Wewe Ghazwat , kama kila timu imeshida nyumbani kwake, mbona kuna timu 2 zina points 7?

Mnajijaza mapovu kichwani baadae mnaanza kulia hovyo, au unafikiri Bana Congo nao ukiwaweka juani wanachemsha engine kama Waarabu?

Bana Congo tuliamua kuwawakea baridi kwahivyo walipoa na wakatepeta kama mate ya mlevi..Kila mmoja tuna Style yake ya kumtomasa..

Vyura mmetulia leo kama mko kwenye foleni ya kupima Tezi Dume...!

Hivi wameondoka BanaCongo ama bado... This Is Simba SC Bro.
 
Back
Top Bottom