PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Inawezekana Tanzania hatukuwa tayari kuwa na Rais Mwanamke maana wakati taifa likiwa katika mtanziko mkubwa, ameonyesha kukosa busara, hekima, ujasiri na utashi wa kulilinda taifa hilo.

Wakati taifa likihitaji sauti ya uponyaji, alitoa sauti ya kuendeleza na kukuza machungu, hasira na maumivu kwa watu.

Sasa hivi wanatoka watu wanaongea kwa niaba yake huku yeye haijulikani yuko wapi.
 
Hizi Salamu amezitoa leo Kimkakati kabisa! Coz watazima mtandao, wanaangalia upepo kwanza!

Pia huyu mama anachukiwa dhahiri na hilo analijua, ametuulia ndugu zetu!
that's why kamtuma huyu Waziri mkuu atakaedumu kwa kipindi kifupi sana!

As I said earlier in this forum..."ule mkutano wake na makada wa chama aliowaita wazee wa dar....Utakuwa mkutano wake wa mwisho kuongea akiwa kama raisi!"

Things are boiling smoothly now!
As I said earlier in this forum..."ule mkutano wake na makada wa chama aliowaita wazee wa dar....Utakuwa mkutano wake wa mwisho kuongea akiwa kama raisi!"😎😎😎
 
Mshana Jr
🤣🤣🤣🤣
2cc9d2e0-f6e5-47ff-b6ad-975a136c4adc.jpeg
 
Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na mengine waziwazi
Mengine ni uhalisia
Mengine yanatengenezwa
Mengine ni mahitaji ya nyakati
. Ulinzi unaojumuisha vikosi vyote vya ulinzi kwenye majiji makuu
. Mwamko mkubwa wa ukinzani wa wakereketwa wa ccm na uvccm kuelekea D9.. Kwamba eti nao wanataka mabadiliko
. Wito wa mara ya pili wa mzee Butiku kuwahimiza vijana washiriiki maandamano kwakuwa ni haki yao kikatiba
.Tetesi na fununu za Majaliwa na Mpango kuwekwa chini ya ulinzi
. Waziri mkuu batili kutoa salamu za D9 siku ya uhuru kabla ya wakati na kwa niaba
. Mazungumzo ya chini chini na kwa kutumia lugha kifichp kuhusiana na hatima ya kiti . maandalizi ya tangazo kubwa..

Harakati ni nyingi.. Tetesi ni nyingi.. Mijadala ni mingi na uzushi ni mwingi pia.. Yote haya ni kwasababu na kiwewe cha D9..
Usiwe mwepesi kuamini.. Usiwe mwepesi kutolewa kwenye reli.. Subiri mpaka yathibitike.. Na kama yakithibitika... Je ni kafanywa mbuzi mee wa kafara?
Kutokuwa na cheo nyakati hizi raha sana.
Wewe unakula popcorn tu na juisi!
 
Brittanica alitekwa au aliuwawa MO29 ?

Alikuwa anatuletea habari vuguvugu sasa kapotea, sijui tuseme rip au kajificha?
 
Inawezekana Tanzania hatukuwa tayari kuwa na Rais Mwanamke maana wakati taifa likiwa katika mtanziko mkubwa, ameonyesha kukosa busara, hekima, ujasiri na utashi wa kulilinda taifa hilo.

Wakati taifa likihitaji sauti ya uponyaji, alitoa sauti ya kuendeleza na kukuza machungu, hasira na maumivu kwa watu.

Sasa hivi wanatoka watu wanaongea kwa niaba yake huku yeye haijulikani yuko wapi.
Hii nayo inafikirisha sana
 
Back
Top Bottom