Mambo hayawezi kuwa the same.Hakuna lolote,kesho itapita na mambo mengine yataendelea kama kawaida,
Maisha yameshabadilika sana kwa sasa.
Mambo hayawezi kuwa the same.Hakuna lolote,kesho itapita na mambo mengine yataendelea kama kawaida,
Wameenda kumfanyia kitu kinaitwa blackmail ili wapate mikataba minono ya uwekezaji.Mama kukutana na balozi wa marekani jiandaeni kisaikolojia wapigania Uhuru uchwara
Kila siku si mnalipana na kuiba rasilimali za nchi.Hakuna lolote,kesho itapita na mambo mengine yataendelea kama kawaida,
📌View attachment 3513105
Leo #MariaSpaces @mariastsehai #X-twitter saa 2 alafu baadaye tutaenda Tiktok 🔥 tukamilishe mipango ya #D9
Focus people!
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 3513106
🇹🇿🇹🇿🇹🇿📍 #D9 🇹🇿 #SAMIAMUSTGO 📍
Hayawi hayawi...!View attachment 3513281
Happy independence day Tanganyika 🙏🏽
Ni leo 🔥💪🏽 #D9
Mungu atutangulie na kutulinda tukamilishe yote tuliyodhamiria tupate Tanzania Mpya
#D9Tunatoka #D9YaAmaniBilaUnyonge #D9TanganyikaDay #SamiaMustGo
#FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #StopAbductionsTz 📌🇺🇬🇹🇿🫂
Doria kila mahali, juzi mitaa ya shekilango kuna poti mmoja alikuwa hoi anasinzia huku kasimama.Hamna maandamano kesho ila yatapangwa siku nyingine, yote nikuwachosha MAASKARI tu
Mbona aliongea na kaimu balozi wa who are you?Nanukuu
KWA NAMNA WHO ARE YOU ANAPENDA SIFA NA KUONEKANA, UKIONA KAMUACHIA MWINGINE SALAMU ZA UHURU, UJUE MAMBO NI ZAIDI YA MOTO!