PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ana hakika huyu anayedai kamtuma ni mzima ? Siyo jitu liko kwenye jokofu yeye analeta zakuleta.
Wanafanya spinning
70c9673a-94cd-42b7-b118-7d4ea1244d04.gif
 
Nashauri sisi tunaoenda kwenye maandamano kuepuka tetesi yoyote ile kwani zinatumika kutushusha mnkari,nakumbuka kipindi kile cha MO29 tulipopeleka moto sana alikuja member kutuhadaa kuwa Samia amejiuzulu lengo ilikuwa kushusha morali yetu.

Hata hii ya Leo ya mwigulu ni mbinu ya kutaka tuanze kujadili uwepo wa Samia, ukweli ni kwamba Samia yupo ila Leo wamefanya makusudi kutomtoa ili kuwahadaa umma na pengine wanajua akitoka atasabaisha hasira na hata wanataka tuanze speculation kama hizi ili kuburuga D9.

Jambo ambalo sisi Wana mabadiliko tunapaswa kufahamu ni kuwa serikali hii Haina uhalali wowote hivyo hatupaswi kumsikiliza mtawala awaye kwenye serikali ya muuaji Samia.

Mwisho Samia tambua kuwa heri nusu shari kuliko shari kamili,na huwezi kutoboa nakuambia ,na kama ukijitia ugumu sana pengine ni mwaka 2026 tu,zaidi ya hapo sikuoni ukitawala Tanganyika.

Samia the Butcher achia kiti mara moja
 
Hizi Salamu amezitoa leo Kimkakati kabisa! Coz watazima mtandao, wanaangalia upepo kwanza!

Pia huyu mama anachukiwa dhahiri na hilo analijua, ametuulia ndugu zetu!
that's why kamtuma huyu Waziri mkuu atakaedumu kwa kipindi kifupi sana!

As I said earlier in this forum..."ule mkutano wake na makada wa chama aliowaita wazee wa dar....Utakuwa mkutano wake wa mwisho kuongea akiwa kama raisi!"

Things are boiling smoothly now!
 
Mtu akimudu kushinda tamaa ya pesa,, madaraka na starehe, huyo mbinguni ni tiketi moja kwa moja,

Bahati mbaya ndiyo hivyo tena. Tamaa mbele mauti nyuma.
 
Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Umeanza vizuri umeharibu mwishoni siungi mkono hoja
 
Hizi Salamu amezitoa leo Kimkakati kabisa! Coz watazima mtandao, wanaangalia upepo kwanza!

Pia huyu mama anachukiwa dhahiri na hilo analijua, ametuulia ndugu zetu!
that's why kamtuma huyu Waziri mkuu atakaedumu kwa kipindi kifupi sana!

As I said earlier in this forum..."ule mkutano wake na makada wa chama aliowaita wazee wa dar....Utakuwa mkutano wake wa mwisho kuongea akiwa kama raisi!"

Things are boiling smoothly now!
Nasabskraibu kwenye hii nilie kwa furaha
 
Haya maandamano watu wa usalama wakitaka kuyaweza vizuri wasipige risasi wala bomu la machozi, wawaache watakao andamana wakimbie kimbie hadi kufika saa kumi jioni njaa zitakuwa zimeshawamaliza nguvu kila mmoja anarudi kwao kulala

Kinachochoe vurugu ni vyombo vya dola kuwa na hofu, kutumia ubabe na nguvu kubwa inayopandisha watu hasira ya kufanya uharibifu

Wao wakae stand by na siraha zao za kila aina kila kona ya jiji au mji kulingana na assesment yao waliyoifanya (intelijensia yao tuiona hapa)

Nakuhakikishia polisi wasiporusha risasi wala mabomu, saa kumi jioni miji yote itakuwa myeupe
 
Bro mshana kesho watu wanandamana kwa ground uko mambo si mambo
Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na mengine waziwazi
Mengine ni uhalisia
Mengine yanatengenezwa
Mengine ni mahitaji ya nyakati
. Ulinzi unaojumuisha vikosi vyote vya ulinzi kwenye majiji makuu
. Mwamko mkubwa wa ukinzani wa wakereketwa wa ccm na uvccm kuelekea D9.. Kwamba eti nao wanataka mabadiliko
. Wito wa mara ya pili wa mzee Butiku kuwahimiza vijana washiriiki maandamano kwakuwa ni haki yao kikatiba
.Tetesi na fununu za Majaliwa na Mpango kuwekwa chini ya ulinzi
. Waziri mkuu batili kutoa salamu za D9 siku ya uhuru kabla ya wakati na kwa niaba
. Mazungumzo ya chini chini na kwa kutumia lugha kifichp kuhusiana na hatima ya kiti . maandalizi ya tangazo kubwa..

Harakati ni nyingi.. Tetesi ni nyingi.. Mijadala ni mingi na uzushi ni mwingi pia.. Yote haya ni kwasababu na kiwewe cha D9..
Usiwe mwepesi kuamini.. Usiwe mwepesi kutolewa kwenye reli.. Subiri mpaka yathibitike.. Na kama yakithibitika... Je ni kafanywa mbuzi mee wa kafara?
 
Back
Top Bottom