PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na mengine waziwazi
Mengine ni uhalisia
Mengine yanatengenezwa
Mengine ni mahitaji ya nyakati
. Ulinzi unaojumuisha vikosi vyote vya ulinzi kwenye majiji makuu
. Mwamko mkubwa wa ukinzani wa wakereketwa wa ccm na uvccm kuelekea D9.. Kwamba eti nao wanataka mabadiliko
. Wito wa mara ya pili wa mzee Butiku kuwahimiza vijana washiriiki maandamano kwakuwa ni haki yao kikatiba
.Tetesi na fununu za Majaliwa na Mpango kuwekwa chini ya ulinzi
. Waziri mkuu batili kutoa salamu za D9 siku ya uhuru kabla ya wakati na kwa niaba
. Mazungumzo ya chini chini na kwa kutumia lugha kifichp kuhusiana na hatima ya kiti . maandalizi ya tangazo kubwa..

Harakati ni nyingi.. Tetesi ni nyingi.. Mijadala ni mingi na uzushi ni mwingi pia.. Yote haya ni kwasababu na kiwewe cha D9..
Usiwe mwepesi kuamini.. Usiwe mwepesi kutolewa kwenye reli.. Subiri mpaka yathibitike.. Na kama yakithibitika... Je ni kafanywa mbuzi mee wa kafara?

Hujazungumzia kuhusu visomo kuendelea kimya kimya kwa Kiti, maana Ndugu wa waliofukiwa kibabe nao hawapo nyuma juu ya hili...Kuna watu walifuatwa msikitini wakapigwa za vichwa wakaenda kufukiwa kibabe na hawakuwapo kwenye maandamano
 
Mbona mwamba macho mekundu Sana
Machozi mengine huwa ni vilio vya shangwe
eb.jpeg
 
Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Kupigana na huyo sa100 ni kuwapiga polisi kwanza
 
As I said earlier in this forum..."ule mkutano wake na makada wa chama aliowaita wazee wa dar....Utakuwa mkutano wake wa mwisho kuongea akiwa kama raisi!"😎😎😎
Itapendeza sana maana maza wenu amepwaya na Kaptura la Maxi limemvaa kweli kweli! Kiasi kwamba najiona hata mimi nikipewa Tanzania mbona naiongoza vizuri tu!
 
Mama kukutana na balozi wa marekani jiandaeni kisaikolojia wapigania Uhuru uchwara
 
Back
Top Bottom