PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,394
Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na mengine waziwazi
Mengine ni uhalisia
Mengine yanatengenezwa
Mengine ni mahitaji ya nyakati
. Ulinzi unaojumuisha vikosi vyote vya ulinzi kwenye majiji makuu
. Mwamko mkubwa wa ukinzani wa wakereketwa wa ccm na uvccm kuelekea D9.. Kwamba eti nao wanataka mabadiliko
. Wito wa mara ya pili wa mzee Butiku kuwahimiza vijana washiriiki maandamano kwakuwa ni haki yao kikatiba
.Tetesi na fununu za Majaliwa na Mpango kuwekwa chini ya ulinzi
. Waziri mkuu batili kutoa salamu za D9 siku ya uhuru kabla ya wakati na kwa niaba
. Mazungumzo ya chini chini na kwa kutumia lugha kifichp kuhusiana na hatima ya kiti . maandalizi ya tangazo kubwa..

Harakati ni nyingi.. Tetesi ni nyingi.. Mijadala ni mingi na uzushi ni mwingi pia.. Yote haya ni kwasababu na kiwewe cha D9..
Usiwe mwepesi kuamini.. Usiwe mwepesi kutolewa kwenye reli.. Subiri mpaka yathibitike.. Na kama yakithibitika... Je ni kafanywa mbuzi mee wa kafara?

1765191867730.jpeg
 
Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na mengine waziwazi
Mengine ni uhalisia
Mengine yanatengenezwa
Mengine ni mahitaji ya nyakati
. Ulinzi unaojumuisha vikosi vyote vya ulinzi kwenye majiji makuu
. Mwamko mkubwa wa ukinzani wa wakereketwa wa ccm na uvccm kuelekea D9.. Kwamba eti nao wanataka mabadiliko
. Wito wa mara ya pili wa mzee Butiku kuwahimiza vijana washiriiki maandamano kwakuwa ni haki yao kikatiba
.Tetesi na fununu za Majaliwa na Mpango kuwekwa chini ya ulinzi
. Waziri mkuu batili kutoa salamu za D9 siku ya uhuru kabla ya wakati na kwa niaba
. Mazungumzo ya chini chini na kwa kutumia lugha kifichp kuhusiana na hatima ya kiti . maandalizi ya tangazo kubwa..

Harakati ni nyingi.. Tetesi ni nyingi.. Mijadala ni mingi na uzushi ni mwingi pia.. Yote haya ni kwasababu na kiwewe cha D9..
Usiwe mwepesi kuamini.. Usiwe mwepesi kutolewa kwenye reli.. Subiri mpaka yathibitike.. Na kama yakithibitika... Je ni kafanywa mbuzi mee wa kafara?View attachment 3512991
.
Nasikia yuko nje
 
Back
Top Bottom