Je kwenda kwa Mkapa Katika Ufunguzi wa kampeni za igunga kutaongeza ushindan?

yaaah!tena sana na ndo maana cuf na cdm wameanza kuhaha,yule mzee mkapa kichwa,hv umewah kuckia hotuba zake?uckose kuangalia tbc kla ck kpnd cha habar,ndo utamjua vema

Je unaamini kuwa uchaguzi wa Igunga waweza kuwa ndio turning point ya siasa za tanzania kuelekea 2015 general election? Nimjuavyo mkapa ni mtu mwenye jazba na mkali sana, anaweza leta ugomvi mkubwa sana na makada wenzie bt anabusara!
mkuu, what went wrong baada ya kipindi cha KICHWA big Ben kuisha mkaweka MKIA badala ya KICHWA tena???

yaaah!tena sana na ndo maana cuf na cdm wameanza kuhaha,yule mzee mkapa kichwa,hv umewah kuckia hotuba zake?uckose kuangalia tbc kla ck kpnd cha habar,ndo utamjua vema
Mkuu, CCM huwa wanamwaga fedha kwenye chaguzi ndogo.....ni balaa tupu!!!Juzi kama sikosei clouds fm kipindi cha jahazi walikuwa wanamuhoji Nape kuhusu kuwepo kwa Ben mkapa ktk ufunguzi,kama amekanusha kimtindo kama jamaa hatokuwepo,na akasema wao kama chama hawakumuomba rostam aziz awasaidie kwenye kampeni ila chama kama chama walitoa maombi kwa makada wote wa chama kusaidia kwenye kampeni na kwa majibu ya nape hawajataja majina nani nani asaidie ila kwa wanachama wote,ngoja tuone itakuwaje,mpaka sasa magamba wamekiuka taratibu za uchaguzi wanatakiwa kutumia mil 80 kwenye uchaguzi huu ila bajeti ya chama ni mil 400.

mkuu, what went wrong baada ya kipindi cha KICHWA big Ben kuisha mkaweka MKIA badala ya KICHWA tena???

Mlihongwa au ilikuwaje mkuu??

yawezekana ukawa na +effect towards general election 2015,mzee yule ni wa ukwl sema tu sisi watanzania n wepes wa kulaumu,juz nlikuwa nasoma profile yake inatisha ndo mana UN wanampa kaz nying,kwa igunga wananch wameshaanza kubain umuhmu wa mkapa hasa kpnd cha uongoz wake maisha was so simple to be afforted by all class,upo?

Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.
Hotuba aliyoitoa kikwete kuhusu kadhi ndo itapata majibu kupitia sicret balot hapo igunga.Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.
Kwa iyo unaamini mkuu wako aliwekwa madarakani na Rostam??Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.
Juzi kama sikosei clouds fm kipindi cha jahazi walikuwa wanamuhoji Nape kuhusu kuwepo kwa Ben mkapa ktk ufunguzi,kama amekanusha kimtindo kama jamaa hatokuwepo,na akasema wao kama chama hawakumuomba rostam aziz awasaidie kwenye kampeni ila chama kama chama walitoa maombi kwa makada wote wa chama kusaidia kwenye kampeni na kwa majibu ya nape hawajataja majina nani nani asaidie ila kwa wanachama wote,ngoja tuone itakuwaje,mpaka sasa magamba wamekiuka taratibu za uchaguzi wanatakiwa kutumia mil 80 kwenye uchaguzi huu ila bajeti ya chama ni mil 400.
Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.
Kuhusu Ben sina shaka na utendaji wake uliotukuka.. hofuyangu ni ushiriki wake ktk siasa coz alisha sema yeye si mwanasiasa tena, then record yake inaonyesha hata katika uchaguzi mkuu 2010 ushiriki wake ulikua mdogo sana! alishiriki siku ya kufunga tuu then aliharibu kwa kuwaita wapinzani kokoto!mkuu, what went wrong baada ya kipindi cha KICHWA big Ben kuisha mkaweka MKIA badala ya KICHWA tena???
Mlihongwa au ilikuwaje mkuu??